Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Aulizwe mama mtu ndie anajua hata mtoto alipatikanaje , wapi, saa ngapi, kitanda gani, shuka likikuwa rangi gani etc, yaani mama asijue baba ni nani kwan alipata ujauzito kwa kunywa chai hotelini.Mkuu, unaenda mbele halafu unarudi nyuma.. mwanzoni umesema kuwa kwa upanda wa Baba yake hakuna anayemfaham hata mmoja, halafu hapa unasema lazima wawepo, watakuwepoje wakati hawafahamiani!?? Au unataka sisi tukakusaidie kuwatafuta ndugu zake!??
Maana majibu tayari unayo.
Kama kuna uwezekano wa kuwatafuta hao ndugu zake, basi watafutwe, kama hakuna uwezekano basi mama yake na wajomba wapokee mahari