- Thread starter
- #181
Issue ni kwamba unawezaje kutoa mahari kwa binti ambaye hujui baba wala ndugu yeyote upande wa baba yake?Hakuna mila ya siku hizi, mila ni moja tu, inavyosema ndivyo itakavyofatwa.
Hakuna mahari Kwa tajiri ya baba fuatilia vizuri utagunduwa hili.
Na kama umeowa pitia upya barua ya majibu ya poss uliyomposa mke wako walipokujibu barua walikuandikia wanataka nini katika orodha.
Mtu ambaye ana pesa direct inatamkwa ni mjaja wa mama labda na pesa ambayo ni binti anayeposwa, siyo ya baba wala ya mama.
Binti ndio mwenye mandate ya kugawa posho Kwa ndugu waliokuja wanaotambulika kimila kupata chochote.