Fact[emoji109][emoji109]Mnatumia zaidi emotions za kishabiki.
Kwa Tanzania watu wengi ni wa kiwango cha kati hivyo ni rahisi kumiliki azam kuliko DStv.
Mzee content za dstv hazihitaj mtu kilaza kuzielew, ila amini dstv kaanza 1990 mpka leo anafanya vizur bongo sio wa kulinganisha na hizo takatak kabisaAzam akifanya hao uliosema DSTV atafunga biashara kama GOTV.
DSTV ukitoa UCL, EPL na ligi nyingine hakuna cha ziada nakuambia ninayo mwaka wa 6 sasa.
Tena miaka ya hivi karibuni ndo wanajikaanga na mafuta yao wenyewe
Siku njema mkuu.Je, wewe ni kundi lipi kati ya hayo tajwa? JIVUNIE tu.
Vp wakicheza costal na gwambina? Au dodoma mji na kagera?mahudhurio yapo vp?