Je, nani anaweza kumzidi mwenzake soko kati ya Azam na DStv endapo hili likifanyika?

Je, nani anaweza kumzidi mwenzake soko kati ya Azam na DStv endapo hili likifanyika?

Azam akifanya hao uliosema DSTV atafunga biashara kama GOTV.
DSTV ukitoa UCL, EPL na ligi nyingine hakuna cha ziada nakuambia ninayo mwaka wa 6 sasa.
Tena miaka ya hivi karibuni ndo wanajikaanga na mafuta yao wenyewe
Mzee content za dstv hazihitaj mtu kilaza kuzielew, ila amini dstv kaanza 1990 mpka leo anafanya vizur bongo sio wa kulinganisha na hizo takatak kabisa
 
Binafsi sijui umetumia vigezo gani kiulinganifu. Huo mfano wako nadhani ni kama Kulinganisha Tuzo za MTV na za Kili Muzik
 
Hapo itategemea na bei za vifurushi kama dstv ataendelea na bei zake hizi za sasa kupata chanel za mpira ikiwemo ligi ya bongo basi atabeba begi lake aondoke ikiwa azam ataonyesha epl kwa vifurushi hivi hivi vya madafu atamfukuza dstv alfajiri na mapema,vinginevyo dstv atabaki juu.
 
Dstv sahv wanazingua kichz ..Maisha magic bongo sahv miyeyusho tuu hamna jambo wanarudia rudia Tamthilia ... Wameishiwa hawa hawana tofauti na startime

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom