Je, nani anaweza kumzidi mwenzake soko kati ya Azam na DStv endapo hili likifanyika?

mleta mada alikua na lengo zuri sana kuleta huu uzi ila kuna mapanya yanajadili ujinga tupu....
 
Wadau nimejaribu kuwaza endapo haya makampuni mawili yakafanya kile ambacho kila mmoja anafanya.

Je, nani atafungasha virago? Nani atapoteza pambano?

Najiuliza endapo Azam ataonesha UEFA, EPL na Europa ligue

Ama DSTV akionyesha Ligi ya bongo (VPL)

Nani atakimbia?
kibongo bong DSTV naweza kupoteza, akachukua azam mana azam nae kahamie HD broadcast, lakini on top DSTV ni DSTV tu unaona hani mtu anafikiria nini
 
Mkuu fanya tathmini ndogo kwa kuongea na wenye banda umiza.

Siku Yanga au Simba wakicheza mapato yanakuwa ya kueleweka kuliko game za Ulaya. Mimi naona watu wanajaa sana hizi game za ndani, hasa Yanga na Simba.

Labda tu kwa sababu big matches ni nyingi Ulaya, unaweza kupata namba zaidi ukii-sumup kwa mwezi.
Kwa hili la kwamba game za ndani zinajaza sana ni kweli.
 
Sio kweli nipo mbeya mbalizi 1999 tunatoka hom saa tatu kwenda kuangalia uefa hatujawah kuangalia mech za ligi yetu had azam anakuja je hao watu na mashabiki wa timu za ulaya wengi wametokea wap ikiwa mpira wa bongo kipaumbele?

Na hadi muda huu sijawah na siwez na sitakaa kuangalia mpira wa bongo siupend ni utopolo tu hadi watakapo anza kucheza mpira wa kweli nitaanza kuangalia
wewe ndo utopolo wa kiwango cha lami
 
Azam hawezi kuonesha ligi ya uingereza kwani gharama zake ni kubwa mno base yake ya subscribers ni ndogo

Una uhakika bakhresa hana pesa hiyo? Anachofanya sasa ni kuwekeza nchi za africa zipate kingamuzi chao wakishafikisha idadi wanayoitaka usishangae utachokiona.
 
Wapambane wapate full rights za kuonyesha hizo mechi,Azam kwa EPL wanaonyesha mechi moja moja na huwa hawatabgazi,mfano Jana nimeona mechi ya Man City na thousampton
Wanapambana sana na kwa Azam hela sio tatizo kabisa.
 
Kwa sasa boli la Bongo lina mashabiki wengi kuliko lile la Ulaya ( kwa hapa Tanzania ).
Siku hizi ukienda kwenye vibanda umiza mechi ya Simba au Yanga dhidi ya timu fulani inajaza ukumbi kuliko ya Man U au Arsenal.
Anguko la Manchester na Arsenal ambao ndio waliokuwa na mashabiki wengi hapa nchini limepelekea watu wengi kuacha kutazama ligi za Ulaya na kugeukia soka la Bongo.

Waliobaki na ligi ya Ulaya asilimia kubwa ni wacheza Kamari ( Betting ) ila kwa sasa kila kitu ni VPL.

I go with Azam TV
 
Sio kweli nipo mbeya mbalizi 1999 tunatoka hom saa tatu kwenda kuangalia uefa hatujawah kuangalia mech za ligi yetu had azam anakuja je hao watu na mashabiki wa timu za ulaya wengi wametokea wap ikiwa mpira wa bongo kipaumbele?

Na hadi muda huu sijawah na siwez na sitakaa kuangalia mpira wa bongo siupend ni utopolo tu hadi watakapo anza kucheza mpira wa kweli nitaanza kuangalia

Kwa sasa sio kama zamani ligi ya za mbele hazifatiliwi sana kama VPL.
 
Kwa sasa boli la Bongo lina mashabiki wengi kuliko lile la Ulaya ( kwa hapa Tanzania ).
Siku hizi ukienda kwenye vibanda umiza mechi ya Simba au Yanga dhidi ya timu fulani inajaza ukumbi kuliko ya Man U au Arsenal.
Anguko la Manchester na Arsenal ambao ndio waliokuwa na mashabiki wengi hapa nchini limepelekea watu wengi kuacha kutazama ligi za Ulaya na kugeukia soka la Bongo.

Waliobaki na ligi ya Ulaya asilimia kubwa ni wacheza Kamari ( Betting ) ila kwa sasa kila kitu ni VPL.

I go with Azam TV
Vp wakicheza costal na gwambina? Au dodoma mji na kagera?mahudhurio yapo vp?
 
Mkuu ujue kuna watu hapa waba reply ili mradi0 tuuu wapate reaction points.
Msamehe bure hajui alitendalo. Azam yupo njema sana hata kwa bei za vifurushi vinaendana na huduma halisi anazotoa. Yaan akionyesha UCL, EUROPA, EPL atamfukuza dstv asubuhi sana.

Azam kifurushi kinakata local chanels unapata. Dstv kikikata unambulia tbc na hapo hadi watu walivyolalamika.
Azam kifurushi kinakata redio unapata zoote. Dstv redio hata moja hupati kifurushi kikiisha
Mkuu mbona kwangu redio zilizima muda tu? Ila local tv nazipata bila shida
 
Hapo kwenye coverage za mpira hata dstv bado sana nenda kaangalie coverage ya league ya south Africa anayoonyesha ni yakawaida sana, hizo epl,uefa ni matangazo ambayo dstv anapokea yakiwa yametengenezwa na BT sport
mkuu coverage ya ligi ya bongo ni bora kuliko ya afrika kusini? yani ligi ya bongo reply yenyewe ni slow motion
 
Me natumia DSTV miaka mingi labda nitakuwa biased ila niongelee nilichokiona, level of customer service, content ya channels, technology na quality ya transmission ni kitu Azam TV anahitaji muda kidogo kujifunza na ni kwa sababu ni mgeni so huwezi kuwalinganisha na DSTv aliyepo Africa nzima.

EPL ni mojawapo ya selling points za DSTv lakin sio kila mteja wao priority ni EPL, na hata Azam akiweka EPL usitegemee bei za kifurushi zibaki zilipo.

DSTV ina content tena high quality kwa ajili ya kila mtu hutakosa cha kuangalia, siku hizi kuna DSTv NOW wala ndani hatugombanii remote na wife na watoto kila mtu anangalia vya kwake, mpk vipindi vilivyokupita(catch up)........ hapo bado hujaongelea mavitu ya decorder za Explora au issue za movie BoxOffice, hawa jamaa sio EPL tu wamejipanga vzuri.
 
Nikipata hela nitafunga DSTV ,kumbe kuna ina option nyingi sana nimeipenda hiyo ya DSTV now yaani king'amuzi kimoja unaweza kufunga TV zaidi ya moja na kila mtu akaangaliachannel yake?
 
Sio kweli nipo mbeya mbalizi 1999 tunatoka hom saa tatu kwenda kuangalia uefa hatujawah kuangalia mech za ligi yetu had azam anakuja je hao watu na mashabiki wa timu za ulaya wengi wametokea wap ikiwa mpira wa bongo kipaumbele?

Na hadi muda huu sijawah na siwez na sitakaa kuangalia mpira wa bongo siupend ni utopolo tu hadi watakapo anza kucheza mpira wa kweli nitaanza kuangalia
Tatizo ndiyo linaanzia hapo wewe unadhani mapenzo yako ndiyo ya kila mtu! Eti hao mashabiki wametoka wapi dah hata viwanjani huwaoni?
 
Back
Top Bottom