UnampotoshaFanya biashara dogo. Ongeza income stream, kupitia mapato ya biashara ndiyo uanze ujenzi.
Huo ni mtazamo wako, wahindi karibu wote mjini hawana nyumba ila wana biashara. Nyumba siyo asset bali liability. Ukikua utakuja kujuaUnampotosha
Jenga kwanza, anayekuambia ufungue biashara hakupendi au hajui maisha.
Maisha ni nyumba mkuu, mambo yote yakikwama unarudi home.
Usilazimishe tufanane nao.huo ni mtazamo wako, wahindi karibu wote mjini hawana nyumba ila wana biashara. Nyumba siyo asset bali liability. ukikua utakuja kujua
Lakini wahindi hawajaajiriwa, huyu kaajiriwa. Mjini hapa ukifungua biashara ukampa mtu asimamie umekwisha.huo ni mtazamo wako, wahindi karibu wote mjini hawana nyumba ila wana biashara. Nyumba siyo asset bali liability. ukikua utakuja kujua
Wengi wenu hamna experience ya ujenzi, mnafikiri ujenzi ni rahisi, kama hauna usimamizi ni kama unagawa hela zako kwa mafundi. Utaibiwa mpaka mchanga na kokoto site.Lakini wahindi hawajaajiriwa, huyu kaajiriwa. Mjini hapa ukifungua biashara ukampa mtu asimamie umekwisha.