Kwenye biashara hakuna kuibiwa? kuibiwa kupo kwenye ujenzi tu?Wengi wenu hamna experience ya ujenzi, mnafikiri ujenzi ni rahisi, kama hauna usimamizi ni kama unagawa hela zako kwa mafundi. Utaibiwa mpaka mchanga na kokoto site.
The good idea, aanzishe biashara ata mkataba utakapoisha aikute biashara imesimama aendelee nayo. Ukijenga ukiwa hauna source nyingine ya income, ultimately utaiuza hiyo nyumba.
Kwa hiyo pesa aiweke tu ama?Mh ujenzi sio lele mama kaka nakushauri hyo pesa endelea kuikuza kuza maana hujui kwamba mkataba utaweza kuongeza au vip kuna maisha baada ya mkataba kuisha na hyo pesa kwa sasa usifanye biashara chonde chonde
Huo ni mtazamo wako, wahindi karibu wote mjini hawana nyumba ila wana biashara. Nyumba siyo asset bali liability. Ukikua utakuja kujua
Huu mtazamo upo sawa sana, sijui kwanini watu wanaona Ujenzi ni project lazima iishe sasa, mzee now una miaka 26 matazamio yako miaka 10 ijayo utakuwa na umri wa miaka 36 hapo utakuwa na Mke na labda watoto, wakati huo mambo yanakuwa Mengi sana ukianza ujenzi now taratibu utaona baadae itavyokushangaza maisha yetu ya kimaskini ni kuanza mapema, miaka yako mitatu huko NGO ukituliza akili utaweza kwenda mpaka level ya kupaua hiyo nyumba nakuhakikishia then wakati huo utaforce Mishe nyingine na utaweza tu mana utakuwa na miaka 29, LAMSINGI. toa milioni 2 from bank nunua materials then save from salary each month zikitimia 3.5M (ile 2M inclusive) piga Msingi then save tena kwa miezi kadhaa inua boma yani taratibu. Hakikisha unabaki na ka balance ka 1M bank for Emergency then floor na mshahara wako kuwa unatupia ka kitu site, utaweza na itakufanya ujione una wajibu wa kufanya kwenye kila senti yako ya kila mwezi. All the best.Anza mapema bila kuangalia nyuma, mimi nilianza nikiwa na 20+ miaka 10 baadae nilikuja kuona faida yake, kwani kuna kipindi majukumu yameongezeka , ada za watoto,kusapoti ndugu zako na wa mke ni muhimu sana unapopata fursa ya ujenzi ufanye hivyo, huko mbeleni utaiboresha tu au kujenga nyingine
Shukran nimekuelewa mkuuHuu mtazamo upo sawa sana, sijui kwanini watu wanaona Ujenzi ni project lazima iishe sasa, mzee now una miaka 26 matazamio yako miaka 10 ijayo utakuwa na umri wa miaka 36 hapo utakuwa na Mke na labda watoto, wakati huo mambo yanakuwa Mengi sana ukianza ujenzi now taratibu utaona baadae itavyokushangaza maisha yetu ya kimaskini ni kuanza mapema, miaka yako mitatu huko NGO ukituliza akili utaweza kwenda mpaka level ya kupaua hiyo nyumba nakuhakikishia then wakati huo utaforce Mishe nyingine na utaweza tu mana utakuwa na miaka 29, LAMSINGI. toa milioni 2 from bank nunua materials then save from salary each month zikitimia 3.5M (ile 2M inclusive) piga Msingi then save tena kwa miezi kadhaa inua boma yani taratibu. Hakikisha unabaki na ka balance ka 1M bank for Emergency then floor na mshahara wako kuwa unatupia ka kitu site, utaweza na itakufanya ujione una wajibu wa kufanya kwenye kila senti yako ya kila mwezi. All the best.
Ahsante!.. sana kakaNaomba nikushauri kijana wangu
Kwanza nakupongeza kwa kununua kiwanja na kuwa na akiba kiasi benki. Mie ni mwajiriwa na pia ninafanya biashara na ufugaji.
Kwa nature ya kazxi yako na kwa kuwa huna mke kusimamia biashara itakusumbua kidogo na unaweza kupoteza mtaji wako kama usipokuwa makini na kutegemea watu waendeshe na kusimamia biashara yako.
Ungekuwa na mke labda ungeweza kumwezesha mkeo asimamie shughuli zako (mke awe na akili hapa) maana kama mkataba ukiisha anaweza kusaidia nyumbani wakati umekwama.
Na kwa kuwa huko single naona itakuwa bora ukijenga nyumba ya kishkaji upate kwako ambapo itakusaidia sana kipindi mkataba umeisha na kukosa pesa ya kujikimu na kodi.
hiyo hela ni nyingi kwa kuanzia na pia unapokuwa na wazo basi Mungu nae uonyesha njia ya kukamilisha wazo lako (kiimani zaidi). Utakuta resources zote unazielekeza huko na kupunguza matumizi ya ovyo. Kuna raha sana kukaa kwako. Hamna kulipa kodi wala kuulizwa kuhusu lolote na mwenye nyumba. Pia nyumba inakupa utulivu wa fikra kukuwezesha kufikiria mipango mingine tofauti na ukiwa huna nyumba na say huna kipato cha kodi utavurugwa
NB. Jenga nyumba ndogo say chumba (self) na kisebule na jiko
Mimi pia nipo kwenye situation kama ya mtoa mada ila tofauti mimi ni mwajiriwa permanent, hiki kitu umeandika kuna mzee mmoja nae alitoka kuniambia. Asante sana mkuu nimejifunza kituAnza mapema bila kuangalia nyuma, mimi nilianza nikiwa na 20+ miaka 10 baadae nilikuja kuona faida yake, kwani kuna kipindi majukumu yameongezeka , ada za watoto,kusapoti ndugu zako na wa mke ni muhimu sana unapopata fursa ya ujenzi ufanye hivyo, huko mbeleni utaiboresha tu au kujenga nyingine
Ahahahahha mkuu uko sahihi sanaLakini wahindi hawajaajiriwa, huyu kaajiriwa. Mjini hapa ukifungua biashara ukampa mtu asimamie umekwisha.
Nataka nikutafute unipe elemu hiyoHabari mdogo wangu
Kiuchumi kama ukianza kujenga na huna uhakika wa kupata pesa nyingine baada ya hapo utajikuta unaishia kwenye lenta na hujui unapata wap nyingine
Ukianzisha biashara ukijikeep bize na biashara uliuoanzisha ikachanganya utakuwa na kipato endelevu ambacho utatumia kujengea huku biashara ikiendelea kumbuka mkataba utaisha na hata hivyo mdogo wangu kwani unalala njee?? Usifadhaike watakaocheka kwamba bado unakaa home tengeneza kwanza msingi wa uhakika cha kuingiza kipato ata kama umelalaa # WEKEZA MDOGO WANGU
USHUHUDA
mimi ni muhitimu wa chuo mwaka 2019 sina ajira mpaka sasa niliishi nyumbani mpaka 2022
Hapo katikati nlikuwa najishughurisha na shughuri mbalimbali ambazo nilikuwa najipatia kipato japo ni kidogo nikawa naweka, nilipendelea kusoma vitabu vya ujasiliamali nikawa naongeza maarifa, nilipiga bodaboda, mpaka kufika mwaka 2022 nikaomba kufanya kazi ya muda mfupi tuu ya sensa ya watu na makazi ambayo wala hakudumu sana lakini wewe yako ni miaka 3
Nilipata pesa nikaunganisha na zile nilizokuwa nikitafuta mwanzoni nilipata jumla ya akiba ya TSH 5,050,000 Milioni tano na elfu hamsini
Wenzangu niliofanya nao kazi ile wapo baadhi walikimbilia kujenga baadae nguvu zikaisha wakaishia njiani
Mimi sikupata mihemko waliyonayo ila kwa kuwa nilipata elimu ya ujasiliamali kupitia kusoma vitabu nikacheki fursa ya eneo nililopo mimi naishi Dodoma shughuli kubwa ni kilimo cha zabibu nakapiga hesabu kwa heka moja kwa kufata na ushauri pia wa wazoefu wa kilimo hicho kuanzia uandaaji wa shamba mpaka upandaji kilimo nilichofanya ni umwagiliaji ilighalimu pesa isiyozidi 4,000,000
Nyingine nilihifadhi kwa ajili ya emergence kama kununua dawa kutoa magugu n.k
Hivi leo naongea nanyi tayar makampuni ya mvinyo wameshaingia ubia kwa kutaka niwauzie zabibu hizo pindi tu zitakapokomaa
NB
Zabibu ni zao la muda mtefu mti mmoja unaweza kukaa ata miaka 30 mpaka 40 na kila mwaka huwa inaongeza kiwango cha kuzaa kilo moja ya zabibu ni 1500- 2500 heka moja inaweza kutoa kilo 8000 mpaka kg 9000 je utashindwa kujenga nyumba unazotaka hapa mjinii????
Nawatakia utekelezaji mwema ndugu wasomaji
Shukran mkuu nimekupataMkuu kwanza nkupongeze kwa kujitambua ukiwa bado ni mdogo
Lakini kwa hiyo 3m ulio save jambo la msingi kufanya kwa sasa ni kuingiza kwenye mzunguko na sio kuizamisha
Kujenga kwa hiyo 3m ni kuendelea kujififisha mwenyewe ...Cha kukushauri ni bora uwekeze kwenye Biashara
Wengi wa wanaosema eti bora ujenge ili tuu ukae kwako kwamba hata ukikosa uko kwako hawa wote ni watu walio kosa nidhamu,ustaarabu na ni waoga wa maisha kwa hofu yao kubwa wanahofia unaweza ukaipoteza hela uki wekeza kwenye biashara
Kwa meelezo yako tuu nshakuona una nidhamu ya pesa
Ukishakua na nidhamu ya pesa hiyo ni silaha kubwa sana katika kutafuta mafanikio..
Kama kweli unatafuta mafanikio ya kueleweka fanya biashara na uwe serious kweli kweli
Kama unataka mafanikio ya kawaida tuu basi jenga
Wanaokuambia ujenge hata ukiishia kwenye msingi utakua ushaongeza thamani kwenye kiwanja chako wanakupoteza coz .utakua ushazika pesa yako na kuipata tena inabid uanze mchakato wa ku save ...badala ya kuendelea hapo ulipo
Hongera bro!. Nimekuelewa vizulHabari mdogo wangu
Kiuchumi kama ukianza kujenga na huna uhakika wa kupata pesa nyingine baada ya hapo utajikuta unaishia kwenye lenta na hujui unapata wap nyingine
Ukianzisha biashara ukijikeep bize na biashara uliuoanzisha ikachanganya utakuwa na kipato endelevu ambacho utatumia kujengea huku biashara ikiendelea kumbuka mkataba utaisha na hata hivyo mdogo wangu kwani unalala njee?? Usifadhaike watakaocheka kwamba bado unakaa home tengeneza kwanza msingi wa uhakika cha kuingiza kipato ata kama umelalaa # WEKEZA MDOGO WANGU
USHUHUDA
mimi ni muhitimu wa chuo mwaka 2019 sina ajira mpaka sasa niliishi nyumbani mpaka 2022
Hapo katikati nlikuwa najishughurisha na shughuri mbalimbali ambazo nilikuwa najipatia kipato japo ni kidogo nikawa naweka, nilipendelea kusoma vitabu vya ujasiliamali nikawa naongeza maarifa, nilipiga bodaboda, mpaka kufika mwaka 2022 nikaomba kufanya kazi ya muda mfupi tuu ya sensa ya watu na makazi ambayo wala hakudumu sana lakini wewe yako ni miaka 3
Nilipata pesa nikaunganisha na zile nilizokuwa nikitafuta mwanzoni nilipata jumla ya akiba ya TSH 5,050,000 Milioni tano na elfu hamsini
Wenzangu niliofanya nao kazi ile wapo baadhi walikimbilia kujenga baadae nguvu zikaisha wakaishia njiani
Mimi sikupata mihemko waliyonayo ila kwa kuwa nilipata elimu ya ujasiliamali kupitia kusoma vitabu nikacheki fursa ya eneo nililopo mimi naishi Dodoma shughuli kubwa ni kilimo cha zabibu nakapiga hesabu kwa heka moja kwa kufata na ushauri pia wa wazoefu wa kilimo hicho kuanzia uandaaji wa shamba mpaka upandaji kilimo nilichofanya ni umwagiliaji ilighalimu pesa isiyozidi 4,000,000
Nyingine nilihifadhi kwa ajili ya emergence kama kununua dawa kutoa magugu n.k
Hivi leo naongea nanyi tayar makampuni ya mvinyo wameshaingia ubia kwa kutaka niwauzie zabibu hizo pindi tu zitakapokomaa
NB
Zabibu ni zao la muda mtefu mti mmoja unaweza kukaa ata miaka 30 mpaka 40 na kila mwaka huwa inaongeza kiwango cha kuzaa kilo moja ya zabibu ni 1500- 2500 heka moja inaweza kutoa kilo 8000 mpaka kg 9000 je utashindwa kujenga nyumba unazotaka hapa mjinii????
Nawatakia utekelezaji mwema ndugu wasomaji
Motivation speaker bhana dahHabari mdogo wangu

Wakati fulani sikuwa na nyumba, nikatamani sana nikipata hela nijenge niishi kwangu. Nimefanikiwa kujenga na kuishi, hata hivyo nimeona ni vema kama napata hela na kuwekeza sehemu sahihi ili kuongeza kipato ni bora zaidi Kisha kujenga kutaendelea kuliko kumaliza nguvu nyingi kwenye ujenzi kwa kipato hiki kidogoHuo ni mtazamo wako, wahindi karibu wote mjini hawana nyumba ila wana biashara. Nyumba siyo asset bali liability. Ukikua utakuja kujua
Halafu wakati huo haikuwa kwa lengo la kuuzwa, kwa hivyo muda utakuwa umepotea na tija haitakuwa kubwa kibiasharaMwisho unarudi kwenye wazo langu la biashara
💯🤝Jenga kwanza utakuja kunishukuru baadae