Je, naweza kuanza ujenzi nikiwa hivi?

Je, naweza kuanza ujenzi nikiwa hivi?

Wengi wenu hamna experience ya ujenzi, mnafikiri ujenzi ni rahisi, kama hauna usimamizi ni kama unagawa hela zako kwa mafundi. Utaibiwa mpaka mchanga na kokoto site.

The good idea, aanzishe biashara ata mkataba utakapoisha aikute biashara imesimama aendelee nayo. Ukijenga ukiwa hauna source nyingine ya income, ultimately utaiuza hiyo nyumba.
Kwenye biashara hakuna kuibiwa? kuibiwa kupo kwenye ujenzi tu?
 
Mh ujenzi sio lele mama kaka nakushauri hyo pesa endelea kuikuza kuza maana hujui kwamba mkataba utaweza kuongeza au vip kuna maisha baada ya mkataba kuisha na hyo pesa kwa sasa usifanye biashara chonde chonde
Kwa hiyo pesa aiweke tu ama?
 
Huo ni mtazamo wako, wahindi karibu wote mjini hawana nyumba ila wana biashara. Nyumba siyo asset bali liability. Ukikua utakuja kujua

Nioneshe muhindi mwenye biashara ya milioni tatu nikupe na wewe milioni 3 [emoji23]
Kama una uhakika wa hela ya kula na kulipa kodi huna sababu ya kufanya biashara ya milion tatu au tano,
 
Anza mapema bila kuangalia nyuma, mimi nilianza nikiwa na 20+ miaka 10 baadae nilikuja kuona faida yake, kwani kuna kipindi majukumu yameongezeka , ada za watoto,kusapoti ndugu zako na wa mke ni muhimu sana unapopata fursa ya ujenzi ufanye hivyo, huko mbeleni utaiboresha tu au kujenga nyingine
Huu mtazamo upo sawa sana, sijui kwanini watu wanaona Ujenzi ni project lazima iishe sasa, mzee now una miaka 26 matazamio yako miaka 10 ijayo utakuwa na umri wa miaka 36 hapo utakuwa na Mke na labda watoto, wakati huo mambo yanakuwa Mengi sana ukianza ujenzi now taratibu utaona baadae itavyokushangaza maisha yetu ya kimaskini ni kuanza mapema, miaka yako mitatu huko NGO ukituliza akili utaweza kwenda mpaka level ya kupaua hiyo nyumba nakuhakikishia then wakati huo utaforce Mishe nyingine na utaweza tu mana utakuwa na miaka 29, LAMSINGI. toa milioni 2 from bank nunua materials then save from salary each month zikitimia 3.5M (ile 2M inclusive) piga Msingi then save tena kwa miezi kadhaa inua boma yani taratibu. Hakikisha unabaki na ka balance ka 1M bank for Emergency then floor na mshahara wako kuwa unatupia ka kitu site, utaweza na itakufanya ujione una wajibu wa kufanya kwenye kila senti yako ya kila mwezi. All the best.
 
Naomba nikushauri kijana wangu

Kwanza nakupongeza kwa kununua kiwanja na kuwa na akiba kiasi benki. Mie ni mwajiriwa na pia ninafanya biashara na ufugaji.

Kwa nature ya kazxi yako na kwa kuwa huna mke kusimamia biashara itakusumbua kidogo na unaweza kupoteza mtaji wako kama usipokuwa makini na kutegemea watu waendeshe na kusimamia biashara yako.

Ungekuwa na mke labda ungeweza kumwezesha mkeo asimamie shughuli zako (mke awe na akili hapa) maana kama mkataba ukiisha anaweza kusaidia nyumbani wakati umekwama.

Na kwa kuwa huko single naona itakuwa bora ukijenga nyumba ya kishkaji upate kwako ambapo itakusaidia sana kipindi mkataba umeisha na kukosa pesa ya kujikimu na kodi.

hiyo hela ni nyingi kwa kuanzia na pia unapokuwa na wazo basi Mungu nae uonyesha njia ya kukamilisha wazo lako (kiimani zaidi). Utakuta resources zote unazielekeza huko na kupunguza matumizi ya ovyo. Kuna raha sana kukaa kwako. Hamna kulipa kodi wala kuulizwa kuhusu lolote na mwenye nyumba. Pia nyumba inakupa utulivu wa fikra kukuwezesha kufikiria mipango mingine tofauti na ukiwa huna nyumba na say huna kipato cha kodi utavurugwa

NB. Jenga nyumba ndogo say chumba (self) na kisebule na jiko
 
Shukran nimekuelewa mkuu
 
Ahsante!.. sana kaka
 
Anza mapema bila kuangalia nyuma, mimi nilianza nikiwa na 20+ miaka 10 baadae nilikuja kuona faida yake, kwani kuna kipindi majukumu yameongezeka , ada za watoto,kusapoti ndugu zako na wa mke ni muhimu sana unapopata fursa ya ujenzi ufanye hivyo, huko mbeleni utaiboresha tu au kujenga nyingine
Mimi pia nipo kwenye situation kama ya mtoa mada ila tofauti mimi ni mwajiriwa permanent, hiki kitu umeandika kuna mzee mmoja nae alitoka kuniambia. Asante sana mkuu nimejifunza kitu
 
Mkuu kwanza nkupongeze kwa kujitambua ukiwa bado ni mdogo

Lakini kwa hiyo 3m ulio save jambo la msingi kufanya kwa sasa ni kuingiza kwenye mzunguko na sio kuizamisha

Kujenga kwa hiyo 3m ni kuendelea kujififisha mwenyewe ...Cha kukushauri ni bora uwekeze kwenye Biashara

Wengi wa wanaosema eti bora ujenge ili tuu ukae kwako kwamba hata ukikosa uko kwako hawa wote ni watu walio kosa nidhamu,ustaarabu na ni waoga wa maisha kwa hofu yao kubwa wanahofia unaweza ukaipoteza hela uki wekeza kwenye biashara

Kwa meelezo yako tuu nshakuona una nidhamu ya pesa

Ukishakua na nidhamu ya pesa hiyo ni silaha kubwa sana katika kutafuta mafanikio..

Kama kweli unatafuta mafanikio ya kueleweka fanya biashara na uwe serious kweli kweli

Kama unataka mafanikio ya kawaida tuu basi jenga

Wanaokuambia ujenge hata ukiishia kwenye msingi utakua ushaongeza thamani kwenye kiwanja chako wanakupoteza coz .utakua ushazika pesa yako na kuipata tena inabid uanze mchakato wa ku save ...badala ya kuendelea hapo ulipo
 
Habari mdogo wangu
Kiuchumi kama ukianza kujenga na huna uhakika wa kupata pesa nyingine baada ya hapo utajikuta unaishia kwenye lenta na hujui unapata wap nyingine

Ukianzisha biashara ukijikeep bize na biashara uliuoanzisha ikachanganya utakuwa na kipato endelevu ambacho utatumia kujengea huku biashara ikiendelea kumbuka mkataba utaisha na hata hivyo mdogo wangu kwani unalala njee?? Usifadhaike watakaocheka kwamba bado unakaa home tengeneza kwanza msingi wa uhakika cha kuingiza kipato ata kama umelalaa # WEKEZA MDOGO WANGU

USHUHUDA
mimi ni muhitimu wa chuo mwaka 2019 sina ajira mpaka sasa niliishi nyumbani mpaka 2022
Hapo katikati nlikuwa najishughurisha na shughuri mbalimbali ambazo nilikuwa najipatia kipato japo ni kidogo nikawa naweka, nilipendelea kusoma vitabu vya ujasiliamali nikawa naongeza maarifa, nilipiga bodaboda, mpaka kufika mwaka 2022 nikaomba kufanya kazi ya muda mfupi tuu ya sensa ya watu na makazi ambayo wala hakudumu sana lakini wewe yako ni miaka 3

Nilipata pesa nikaunganisha na zile nilizokuwa nikitafuta mwanzoni nilipata jumla ya akiba ya TSH 5,050,000 Milioni tano na elfu hamsini

Wenzangu niliofanya nao kazi ile wapo baadhi walikimbilia kujenga baadae nguvu zikaisha wakaishia njiani

Mimi sikupata mihemko waliyonayo ila kwa kuwa nilipata elimu ya ujasiliamali kupitia kusoma vitabu nikacheki fursa ya eneo nililopo mimi naishi Dodoma shughuli kubwa ni kilimo cha zabibu nakapiga hesabu kwa heka moja kwa kufata na ushauri pia wa wazoefu wa kilimo hicho kuanzia uandaaji wa shamba mpaka upandaji kilimo nilichofanya ni umwagiliaji ilighalimu pesa isiyozidi 4,000,000

Nyingine nilihifadhi kwa ajili ya emergence kama kununua dawa kutoa magugu n.k

Hivi leo naongea nanyi tayar makampuni ya mvinyo wameshaingia ubia kwa kutaka niwauzie zabibu hizo pindi tu zitakapokomaa

NB
Zabibu ni zao la muda mtefu mti mmoja unaweza kukaa ata miaka 30 mpaka 40 na kila mwaka huwa inaongeza kiwango cha kuzaa kilo moja ya zabibu ni 1500- 2500 heka moja inaweza kutoa kilo 8000 mpaka kg 9000 je utashindwa kujenga nyumba unazotaka hapa mjinii????

Nawatakia utekelezaji mwema ndugu wasomaji
 
Assalam Aleykum,

Alhamdulillah,nimejenga nyumba na nimejenga Banda,more than one place

Nilikuwa na ndoto kama zako,na umshkuru sana MUNGU kwa kukupa wazo la kujenga,hiyo ni neema yake kukupa wazo.
Naninasema,hakuna Kazi ngum kama kuweka akiba na kununua kiwanja.
Wapo wenye kipato zaidi yako hawajajenga.
nisawa na ndoa,wapo watu wana kila kitu ila ndoa wao wanaziogopa,huku wengine at age of 26 tuliishaoa zamani,na age of 28 tunaanza kujenga nyumba.

Hakuna kitu muhim kama kuweka akiba.
Kama eweza kuweka mpaka kufika 3m,basi endelea kuweka akiba atleast ufike 6m,Ili uanze phase one.
Biashara:-
Sikushauri kabisaaa,pesa ambazo umeplan ujenge nyumba,zikiwa allocated kwenye biashara basi ujue unaenda kufeli vibaya mnoo.

Fanta savings tofauti,ya nyumba ijitegemee na ya biashara ijitegemee.
Usidanganyike kwamba hiyo 3m uwekeze biashara ili upate pesa ya ujenzi.Utapotea
Humu tumo tele tunamiliki zaidi ya hiyo 3m,mbona hatujaweka kwenye biashara ili tujenge.

Wazo langu kwako,endelea kuweka akiba,na ujitambue ktk dhamira ya malengo yako.

ALLAH akubarik na akupe wepesi ktk Maisha yako
 
Habari mdogo wangu
Kiuchumi kama ukianza kujenga na huna uhakika wa kupata pesa nyingine baada ya hapo utajikuta unaishia kwenye lenta na hujui unapata wap nyingine

Ukianzisha biashara ukijikeep bize na biashara uliuoanzisha ikachanganya utakuwa na kipato endelevu ambacho utatumia kujengea huku biashara ikiendelea kumbuka mkataba utaisha na hata hivyo mdogo wangu kwani unalala njee?? Usifadhaike watakaocheka kwamba bado unakaa home tengeneza kwanza msingi wa uhakika cha kuingiza kipato ata kama umelalaa # WEKEZA MDOGO WANGU

USHUHUDA
mimi ni muhitimu wa chuo mwaka 2019 sina ajira mpaka sasa niliishi nyumbani mpaka 2022
Hapo katikati nlikuwa najishughurisha na shughuri mbalimbali ambazo nilikuwa najipatia kipato japo ni kidogo nikawa naweka, nilipendelea kusoma vitabu vya ujasiliamali nikawa naongeza maarifa, nilipiga bodaboda, mpaka kufika mwaka 2022 nikaomba kufanya kazi ya muda mfupi tuu ya sensa ya watu na makazi ambayo wala hakudumu sana lakini wewe yako ni miaka 3

Nilipata pesa nikaunganisha na zile nilizokuwa nikitafuta mwanzoni nilipata jumla ya akiba ya TSH 5,050,000 Milioni tano na elfu hamsini

Wenzangu niliofanya nao kazi ile wapo baadhi walikimbilia kujenga baadae nguvu zikaisha wakaishia njiani

Mimi sikupata mihemko waliyonayo ila kwa kuwa nilipata elimu ya ujasiliamali kupitia kusoma vitabu nikacheki fursa ya eneo nililopo mimi naishi Dodoma shughuli kubwa ni kilimo cha zabibu nakapiga hesabu kwa heka moja kwa kufata na ushauri pia wa wazoefu wa kilimo hicho kuanzia uandaaji wa shamba mpaka upandaji kilimo nilichofanya ni umwagiliaji ilighalimu pesa isiyozidi 4,000,000

Nyingine nilihifadhi kwa ajili ya emergence kama kununua dawa kutoa magugu n.k

Hivi leo naongea nanyi tayar makampuni ya mvinyo wameshaingia ubia kwa kutaka niwauzie zabibu hizo pindi tu zitakapokomaa

NB
Zabibu ni zao la muda mtefu mti mmoja unaweza kukaa ata miaka 30 mpaka 40 na kila mwaka huwa inaongeza kiwango cha kuzaa kilo moja ya zabibu ni 1500- 2500 heka moja inaweza kutoa kilo 8000 mpaka kg 9000 je utashindwa kujenga nyumba unazotaka hapa mjinii????

Nawatakia utekelezaji mwema ndugu wasomaji
Nataka nikutafute unipe elemu hiyo
 
Mkuu kwanza nkupongeze kwa kujitambua ukiwa bado ni mdogo

Lakini kwa hiyo 3m ulio save jambo la msingi kufanya kwa sasa ni kuingiza kwenye mzunguko na sio kuizamisha

Kujenga kwa hiyo 3m ni kuendelea kujififisha mwenyewe ...Cha kukushauri ni bora uwekeze kwenye Biashara

Wengi wa wanaosema eti bora ujenge ili tuu ukae kwako kwamba hata ukikosa uko kwako hawa wote ni watu walio kosa nidhamu,ustaarabu na ni waoga wa maisha kwa hofu yao kubwa wanahofia unaweza ukaipoteza hela uki wekeza kwenye biashara

Kwa meelezo yako tuu nshakuona una nidhamu ya pesa

Ukishakua na nidhamu ya pesa hiyo ni silaha kubwa sana katika kutafuta mafanikio..

Kama kweli unatafuta mafanikio ya kueleweka fanya biashara na uwe serious kweli kweli

Kama unataka mafanikio ya kawaida tuu basi jenga

Wanaokuambia ujenge hata ukiishia kwenye msingi utakua ushaongeza thamani kwenye kiwanja chako wanakupoteza coz .utakua ushazika pesa yako na kuipata tena inabid uanze mchakato wa ku save ...badala ya kuendelea hapo ulipo
Shukran mkuu nimekupata
 
Habari mdogo wangu
Kiuchumi kama ukianza kujenga na huna uhakika wa kupata pesa nyingine baada ya hapo utajikuta unaishia kwenye lenta na hujui unapata wap nyingine

Ukianzisha biashara ukijikeep bize na biashara uliuoanzisha ikachanganya utakuwa na kipato endelevu ambacho utatumia kujengea huku biashara ikiendelea kumbuka mkataba utaisha na hata hivyo mdogo wangu kwani unalala njee?? Usifadhaike watakaocheka kwamba bado unakaa home tengeneza kwanza msingi wa uhakika cha kuingiza kipato ata kama umelalaa # WEKEZA MDOGO WANGU

USHUHUDA
mimi ni muhitimu wa chuo mwaka 2019 sina ajira mpaka sasa niliishi nyumbani mpaka 2022
Hapo katikati nlikuwa najishughurisha na shughuri mbalimbali ambazo nilikuwa najipatia kipato japo ni kidogo nikawa naweka, nilipendelea kusoma vitabu vya ujasiliamali nikawa naongeza maarifa, nilipiga bodaboda, mpaka kufika mwaka 2022 nikaomba kufanya kazi ya muda mfupi tuu ya sensa ya watu na makazi ambayo wala hakudumu sana lakini wewe yako ni miaka 3

Nilipata pesa nikaunganisha na zile nilizokuwa nikitafuta mwanzoni nilipata jumla ya akiba ya TSH 5,050,000 Milioni tano na elfu hamsini

Wenzangu niliofanya nao kazi ile wapo baadhi walikimbilia kujenga baadae nguvu zikaisha wakaishia njiani

Mimi sikupata mihemko waliyonayo ila kwa kuwa nilipata elimu ya ujasiliamali kupitia kusoma vitabu nikacheki fursa ya eneo nililopo mimi naishi Dodoma shughuli kubwa ni kilimo cha zabibu nakapiga hesabu kwa heka moja kwa kufata na ushauri pia wa wazoefu wa kilimo hicho kuanzia uandaaji wa shamba mpaka upandaji kilimo nilichofanya ni umwagiliaji ilighalimu pesa isiyozidi 4,000,000

Nyingine nilihifadhi kwa ajili ya emergence kama kununua dawa kutoa magugu n.k

Hivi leo naongea nanyi tayar makampuni ya mvinyo wameshaingia ubia kwa kutaka niwauzie zabibu hizo pindi tu zitakapokomaa

NB
Zabibu ni zao la muda mtefu mti mmoja unaweza kukaa ata miaka 30 mpaka 40 na kila mwaka huwa inaongeza kiwango cha kuzaa kilo moja ya zabibu ni 1500- 2500 heka moja inaweza kutoa kilo 8000 mpaka kg 9000 je utashindwa kujenga nyumba unazotaka hapa mjinii????

Nawatakia utekelezaji mwema ndugu wasomaji
Hongera bro!. Nimekuelewa vizul
 
Motivation speaker bhana dah
 
Huo ni mtazamo wako, wahindi karibu wote mjini hawana nyumba ila wana biashara. Nyumba siyo asset bali liability. Ukikua utakuja kujua
Wakati fulani sikuwa na nyumba, nikatamani sana nikipata hela nijenge niishi kwangu. Nimefanikiwa kujenga na kuishi, hata hivyo nimeona ni vema kama napata hela na kuwekeza sehemu sahihi ili kuongeza kipato ni bora zaidi Kisha kujenga kutaendelea kuliko kumaliza nguvu nyingi kwenye ujenzi kwa kipato hiki kidogo
 
Back
Top Bottom