Je, naweza kufanya mazoezi bila kupunguza wowowo...?

Hiyo midude ya nini wewe! Mi sipendi demu mwenye hiyo m i ta ko mikibwa!
 
Hawa wadau !
Shughuli mpya hii hapa!
Afu muende mdogomdogo, kasi ktk kuiandika id ya mtoamada "mkunde" mkibugi Ban haiko mbali.


Mkuu Judgement. Nashukuru kwa angalizo lako maana ukikosa hapo mwisho. Badala ya e uweke i. Ni hatari.
 
Last edited by a moderator:
kunywa chai moto ilowekwa tangawizi ya kutosha au supu ya pili pili ilochanganywa na ndimu za kutosha kila asubuhi na usiku kabla ya kulala...mi ilinisaidia sana
 
kunywa chai moto ilowekwa tangawizi ya kutosha au supu ya pili pili ilochanganywa na ndimu za kutosha kila asubuhi na usiku kabla ya kulala...mi ilinisaidia sana

supu ya pilipili intengenezwaje?afu ukienda chooni inakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…