kunywa chai moto ilowekwa tangawizi ya kutosha au supu ya pili pili ilochanganywa na ndimu za kutosha kila asubuhi na usiku kabla ya kulala...mi ilinisaidia sana
we mtu umenchekesha
lavito we haya tu kumbe unanionea aibu,mwaka huu nitaokota embe chini ya mtende kwa mtindo huu
Mzee mi najua lakin Excellent ndo alikuwa anataka aeleweshweNaomba nikupe jibu kama hautojali.
Heaven on earth
hahahaaa.......! Wii mwambie asome jibu nililompa nitonye
halafu neno Mbunye maana yake ni hiyo kweli ama
hewaaa hivyo hivyo
potabo easy to carry.....
mkeo lake lafall wapi!!!!!!
Fanya mazoez ya kukata tumbo na nyama za pembeni wowowo itabaki ivo ivo
kunywa chai moto ilowekwa tangawizi ya kutosha au supu ya pili pili ilochanganywa na ndimu za kutosha kila asubuhi na usiku kabla ya kulala...mi ilinisaidia sana
naomba basi nikuone Angel NylonNa tumbo lake liwe zima , kama langu apo baada ya siku 4 nipelekwe hospital.
Eti... wewe uliyerusha Uzi umesaidika kweli! Maana discussion imehamia Kwenye MBUNYE lol
naomba basi nikuone Angel Nylon
Inye yangu!!! hahahahahahahahaShem ww lako unali maintain vipi?
Sema machache ktk hili ,
kama lina-vibrate, hua unatupa mawe , shingo hukusindikiza n.k n.k
supu ya pilipili intengenezwaje?afu ukienda chooni inakuwaje?
ulipungua kwa kiasi gani?