Na tumbo lake liwe zima , kama langu apo baada ya siku 4 nipelekwe hospital.
Nauliza tu msinipige mawe wadau,kuna watu mtaani wanasema girl kuliwa tigo na zile protini zikaenda mle basi anajaza hips?
hivi kuna ukweli?
Nitafute Mkunde ,dawa yake iko ndani ya zeep yangu kuna style kama saba hivi zinapunguzaga!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
hahahaaa........! Una akili sana The secretary hakyanani leo lazima nikutoe out kilabuni! Chagua kilabu gani utapenda kwenda na gongo gani utapendelea kuywa.
Mi napendelea kile kilabu unachokwenda wewe na gongo uliyokunywa siku ile hadi ukaanza kulia unamtaka mmeo
hahahaaa......! Basi sawa ila usije umelewa maana ninavyokujua mimi utaanza kunywa gongo unayoipika wewe then ndio uje utuimbie ile single yako ya matusi fleva, ukumbuke kuvaa viatu maana umeshazoea kupekua, ile kanga ako leo ifue kabisa maana unapenda kuivaa ikiwa imeginaa.
Asanteni kwa majibu yenu nitayafanyia kazi nimeuliza ili nisijekuwa sony wega kwa nyuma halafu tumbo likagoma kutoka looh. Thanks all naona neno mbunye nimeliweka kimakosa asanteni kunirekebisha.
Ila mie napenda shurti wowowo ya mwananamke iende Dodoma Singida Mkoa wa Tabora, Dodoma Singida Mkoa wa Tabora, Dodoma..................... hasa pale mwanamke anapokuwa amefunga khanga akienda sokoni, me huwa naskia raha sasa wacha nilifanyie kazi hili tumbo ili niwe flat abs nikifunga khanga akuuu hasa ile ya India watu macho kodo hahahaa ila isiwe nalitingisha kimakusudi hapana yaani linatikisika kutokana na hatua za miguu kwatuu kwatuu kwatuu hadi sokoni................
kwani watu8 we hupendi hio kitu nyie si mnasema mwanamke choo:biggrin:Wanawake mna kaziiii....
Wenzako wanataka kishtobeee kile waweza eka tufaa likabalance!!!Kiwepo kishonde cha kawaida tu sio ule mshundundu kama mtu kakalia hamira...
Wanawake mna kaziiii....
Nitafute Mkunde ,dawa yake iko ndani ya zeep yangu kuna style kama saba hivi zinapunguzaga!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
It's not easy to carry only! As if it's potable!
Easy for so many thin!
Mke wangu anamiliki la kisomali , hata likiwa ndani dera ramani yake inajichora.
ukisimama inakaa mbele
ukiinama inakaa nyuma
ukichuchumaa inakaa chini
ukilala chali inakaa juu!!!!!
Ndio tabia ya Asha Kumar hiyo shem hana makazi maaluum ila akai kwenye kalio.