Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
ndivyo tulivyooo japo si wote ni wale wanaofanana na mawazo kama yangu tuu wengine wao wanapenda wakakamae kila mahali kama Betina wa kwenye gazeti la Sani enzi hizo.
Leo nitakunywa kidogo si unajua tena vile vitumbua ulivyopika nitavianzia kwanza
U m e m a l i z a M P E N Z I!
The secretary mbona umelewa sasa tutaondokaje hapa? Ngoja nimuite nitonye au Judgement aje na mkokoteni wakubebe
Mwenzangu bora hata mie najiweza kutembea nakuonea huruma hata kujivuta huwezi