Je, naweza kuhamisha mkopo kutoka Benki ya ABC kwenda benki zingine kubwa?

Je, naweza kuhamisha mkopo kutoka Benki ya ABC kwenda benki zingine kubwa?

Mgaa gaa upwa

Senior Member
Joined
Jan 11, 2024
Posts
180
Reaction score
281
Wasalaam

Jamani nilikwama nikajiingiza kwao Banc ABC kukopa nilichukua 3 million ila ilitakiwa nirejeshe 8 million sasa naona bora hili dwni nilipeleke CRDB bank.

Sasa je kuna mtu anafahamu utaratibu wa kuhamisha deni tafadhari wakati nikiwa na lengo la kulipa hapo baadae.?
 
Mkuu,Ni mkopo wa aina gani,wa muda gani?Unaweza Ili sasa inamaana unakopa beenki nyingine unawalipa,ila inabidi uongee kwanza na benki unayotaka kwenda kukopa na kisha wakikubali unaenda bank abc wanakupigia hesabu then unaendelea na mchakato
 
Mkopo wa biashara tu na niliwauliza naweza kuhamisha kwenda bank zingine wakasema sawa sasa nauliza kama kuna mtu aliishawahi faulu kufanya hivyo au kurudisha pesa yao kabla ya muda tuliowekeana kufika.?
 
Back
Top Bottom