Mgaa gaa upwa
Senior Member
- Jan 11, 2024
- 180
- 281
Mkopo wa biashara tu na niliwauliza naweza kuhamisha kwenda bank zingine wakasema sawa sasa nauliza kama kuna mtu aliishawahi faulu kufanya hivyo au kurudisha pesa yao kabla ya muda tuliowekeana kufika.?Mkuu,Ni mkopo wa aina gani,wa muda gani?Unaweza Ili sasa inamaana unakopa beenki nyingine unawalipa,ila inabidi uongee kwanza na benki unayotaka kwenda kukopa na kisha wakikubali unaenda bank abc wanakupigia hesabu then unaendelea na mchakato
Mchawi muda eti, ukirudisha mapema inapungua.Inakppa 3 unalopa 8, dah! Tenakopo wa niashara.
Unauza nini maana na sisi tuzamie hivohivo
Shukrani mkuu, waliniambia nikirudisha mapema mkopo wao deni linapungua kuna ukweli hapo?Inawezekana kabisa. CRDB wananunua mkopo.
Sema ABC watakulipisha kiasi
Usiwe hoi niliulizia mkopo wa 8 million wakasema narudisha 24 millioniMmh 3mil. ulipe 8mil?
Kazi kweli kweli
Aiseeh mi hoi
Kila la kheri
Nikutakie
Ukifupisha mda wa mkopo, Utalipa kiasi kidogo.Shukrani mkuu, waliniambia nikirudisha mapema mkopo wao deni linapungua kuna ukweli hapo?
Mwisho miaka 8 sasa ninawazo la kuuhamisha.Ukifupisha mda wa mkopo, Utalipa kiasi kidogo.
Nachokiona hapa. Umekopa kwa miaka 10+.
Ndiyo maana ninataka kulipeleka sehemu salama na ugonjwa wa moyo je nitafanikisha?Usithubutu kujichanganya
1,Bayport
2.abc bank
At least kidogo hata Faidika japo na wenyewe ukienda kudai statement ya deni hawakupi Mpaka uwatishe au uongee na takukuru
Hizo Bank za vigogo
Ndio inawezekana hasa ukikopa kwa mda mrefuMmh 3mil. ulipe 8mil?
Kazi kweli kweli
Aiseeh mi hoi
Kila la kheri
Nikutakie
Muda wa marejesho ukiwa mrefu na deni linakua.Inawezekana, hii mikopo mbona ina riba kubwa sana.
Itabidi nivae mabomu tu maana hakuna namna.Unaweza ila hao ABC hadi wakupe salio lako upeleke CRDB utateseka sana. Ni wasumbufu vibaya mno.