Je, naweza kuhamisha mkopo kutoka Benki ya ABC kwenda benki zingine kubwa?

Wale wa kataa ndoa wangeanzisha tu kataa mikopo, mikopo inanyonya mikopo ni kausha damu
We acha kabisa kulinganisha mikopo na biashara kichaa inayoitwa ndoa.

Yaani mkopo ata ukipigika vipi roho yako itabaki na utafaidi walau vihela ulivyokopa, ila ndoa kama siyo kuua litoto la mtu basi ni kujiua wewe.

Tena ukisalimika ni mwendo wa 50 kwa 50 😂😂😂😂
 
Omba barua ya balance ya mkopo wako Banc ABC then nenda na barua Crdb.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…