Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Tutazunguka mbuyu lakini mwishoe tutakuja kukubaliana kwamba ndoa imeshapitwa na wakati. Haiwezekani kuwa na feminism society na taasisi za ndoa na familia zikabaki salama
Haujajibu swaliElon Musk, Bill Gates na Jeff Bezos walisema ndoa ni jela?
Wewe ndiyo unawaona ni masikini! Wao ndani yao wameridhika na walichonacho na probably wanajiona matajiri. Hawana pressure so Wana amani.Mbona kuna masikini huko kijijini sasa sasa wana miaka 90 na wapo kwenye ndoa?
Kuna jamaa ameuliza swali kama hili ulilouliza hapo juu yako tu, nikamjibu. I thought umeona reply yangu kama sehemu ya kufuatilia mjadala.Haujajibu swali
Safi ndoa ni mtegoKATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
KATAA MKATABA WA KITAPELI
Unaweza kukutana na mwanamke bar na aKawa wife material,kuliko utakayekutana nae kanisani kwenye mkesha WA maombi!Sio kweli ila ina tegemeana umeoa mwanamke wa aina gani? Na mlikutana wapi?
Ni kweli ila situation zipi zime wakutanisha?Unaweza kukutana na mwanamke bar na aKawa wife material,kuliko utakayekutana nae kanisani kwenye mkesha WA maombi!
Unataka uoe halafu urudi Saa 6 usiku Kazi za msingi za ndoa afanye Nani?Ndio ni utapeli hata mi najuta...
Mi napangiwa mda wa kurudi na kuondoka mjue
most of the people defending marriage are already stuck in it, and its stressing them out, they just dont wanna hear the hard truth , the truth is marriage aint safe not for your health, not for your pockets thats just how marriage is, and you cant change that there is no way around it....trust me, they ain't ready for that discussion
Vipi kwa hao matajiri wenye utajiri wa mabilioni ya $ inakuwagaje ndoa zinawashinda?Tatizo SI ndoa (kuoana). Tatizo ni umasikini.
Ndoa tamu sana aisee.
Shida ukiwa masikini, ndoa inakuwa chungu kwa sababu ya majukumu kuongezeka, kukosa muda wa binafsi na pesa ya kustarehe/kujifurahisha. Ndo umaanza kuhusu uko jela.
Duh pole sanaNdio ni utapeli hata mi najuta...
Mi napangiwa mda wa kurudi na kuondoka mjue
Ndoa mkikutana pipa na mfuniko raha Sana!!Ni kweli ila situation zipi zime wakutanisha?
Mm sipnd mwanamke goi goi hana haiba ya kike akizaa bas ana jizila kabisa no
Ndoa haikufai kama wewe ni kilazaKijiweni hapa Nyasaka!
Jana nilitoa mada kuhusu vijana kutokufanya maamuzi magumu ya kuwa na familia (ndoa) na kutulia na mwanamke.
Wengi wao waliona heri atafute watoto tu ila sio kukaa na mwanamke sababu wengi hawaeleweki nini wanataka.
Nilipowauliza swali vijana waliooa walisema ingekuwepo nafasi ya 2 kichagua kuoa au kuendelea na maisha yao single walichagua kubaki single sababu ya mtiti wa familia.
Sasa najiuliza na kuuliza kwenu mlio na wanawake na wenye familia, inshu ni matunzo ya familia na majukumu ndio yanabana kiasi cha kutaka kukimbia au hawa hawakuwa tayari na walikurupuka?
MLIO NA WAKE NDANI TUPENI USHAURI KABLA SISI HATUJAWEKA MIGUU HUMO.
Kabisaaa ata nikiwa na wewe kwenye mahusiano kama ulikuwa una pendeza af ukanizoea ukaanza jiachia na kukimbiNdoa mkikutana pipa na mfuniko raha Sana!!
Mambo ya kila siku nyumbani kama wazee siyapendi
mara moja moja tunakua tunawaacha nyumbani watoto tunaenda zetu honeymoon hata siku tatu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
bro kwenye pati ya mikazo kaweka mpaka vifungu vya kibiblia kwingne katoa mawazo yake tu😁😁😁Ndoa ni njema sema watu hatuna elimu nayo na wanaotakiwa kuifundisha hawaijui.
Ndoa ndio kitu kinachoshikilia mahusiano ni mfano wa msumari na gundi unaounganisha mbao mbili ili ziweze kushikina na kuunda chombo kabati ukiiona imekamilika Ila imeunganisha na vipande vipande vya mbao mpaka kuwa kama ilivyo. Ndio ndoa ilivyo.
Pasipo ndoa hakuna mahusiano kwani kila mmoja anakuwa huru ni sawa na vipande vya mbao uviite kabati, meza n.k haiwezekani kabisa.
Shida inakuja watu hawalitambui hili pindi waingiapo kwenye ndoa.
Utamu wa ndoa unakuja hapa.
1. Unapunguza gharama za huduma kwa mwenza wako na kubakia huduma za msingi tu nazo ni pale kuna po kuwa na uwezekano tu mfano vizawadi zawadi ili kumfurahisha mwenza wako vinakufa. Hakuna uchunwaji kwenye. Mahitaji ya msingi ni kula, kunywa, Malazi, mavazi, na matibabu. Mke akipata hivi inatosha hivyo vingine ie kusuka, outing n. K ni pale mume apatapo nafasi tu si lazima. Kinyume na mahusiano nje ya ndoa huwa ni kipengele.
2. Mahusiano kuwa na usalama. Kuna ugoni kwenye ndoa sio rahisi kwa mtu kumkurubia mkeo au mumeo. Hata ukiugua una haki ya kuhudumiwa na mwanandani wako. Kinyume na nje ya ndoa huwa ni kipengele.
3. Upatinaji na tendo la ndoa ni asilimia Mia moja wakati wowote mpatapo nafasi.
1 Wakorintho 7
1. Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.
2. Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.
3. Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.
5. Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.
Nb. Akikunyima hata Mara moja pasipo sababu za msingi huyo ni huyo ni mzinzi hufungwi kumpandisha cheo kuwa mke au mume mkubwa.
Hitimisho; Ndoa ndio mwisho wa matumizi ya hovyo hovyo na maisha ya hovyo hovyo na inapaswa kuheshimiwa na watu wote hasa waliomo Ndani wanapaswa kuzingatia masharti yake na kuiheshimu sana. Sasa shida inakuja mtu anaingia kwenye ndoa anaanza kuleta za kuleta usipomtoa out, usipolnunulia wig Jipya, gari, usipomfungulia biashara, mkikosana kidogo, akila chakula asichopenda ananuna na kwanza kuleta shida ndio wanaoidhalilisha ndoa na kuifanya kukosa maana.
Mkuu kwani wewe ulioa na umri gani au bado upo upo kwanzaNdoa ni utapeli.. kijana mwenye malengo makubwa usikimbilie kuoa.