Je, Ndoa ni Jela ya Wanaume? Je, walioko ndani wanatamani kutoka?

Je, Ndoa ni Jela ya Wanaume? Je, walioko ndani wanatamani kutoka?

Tutazunguka mbuyu lakini mwishoe tutakuja kukubaliana kwamba ndoa imeshapitwa na wakati. Haiwezekani kuwa na feminism society na taasisi za ndoa na familia zikabaki salama
Umagharibi v/s uswahili hakuna kitu kama hicho

Ni suala la mda na ting gonna fall mezeeley
 
ngoja nikutafutie namba ya jamaa yangu umwuulize hilo swali. yeye alikuwa na wanawake kadhaa kawafukuza wote saivi anaishi mwenyewe na bahati mbaya saivi yeye mwenyewe anaumwa hoi yupo kitandani tu.
 
Back
Top Bottom