Je, Ndoa ni Jela ya Wanaume? Je, walioko ndani wanatamani kutoka?

Mbona kuna masikini huko kijijini sasa sasa wana miaka 90 na wapo kwenye ndoa?
Wewe ndiyo unawaona ni masikini! Wao ndani yao wameridhika na walichonacho na probably wanajiona matajiri. Hawana pressure so Wana amani.
Huoni masikini wa mjini anaonekana tajiri kijijini.. au masikini wa ulaya anaonekana tajiri hapa Bongo.
 
Marriage institution has failed- we need a working alternative to marrige quick. Vinginevyo "u single" udumu.
 
Unaweza kukutana na mwanamke bar na aKawa wife material,kuliko utakayekutana nae kanisani kwenye mkesha WA maombi!
Ni kweli ila situation zipi zime wakutanisha?

Mm sipnd mwanamke goi goi hana haiba ya kike akizaa bas ana jizila kabisa no
 
trust me, they ain't ready for that discussion
most of the people defending marriage are already stuck in it, and its stressing them out, they just dont wanna hear the hard truth , the truth is marriage aint safe not for your health, not for your pockets thats just how marriage is, and you cant change that there is no way around it....
 
Tatizo SI ndoa (kuoana). Tatizo ni umasikini.
Ndoa tamu sana aisee.
Shida ukiwa masikini, ndoa inakuwa chungu kwa sababu ya majukumu kuongezeka, kukosa muda wa binafsi na pesa ya kustarehe/kujifurahisha. Ndo umaanza kuhusu uko jela.
Vipi kwa hao matajiri wenye utajiri wa mabilioni ya $ inakuwagaje ndoa zinawashinda?
 
Ni kweli ila situation zipi zime wakutanisha?

Mm sipnd mwanamke goi goi hana haiba ya kike akizaa bas ana jizila kabisa no
Ndoa mkikutana pipa na mfuniko raha Sana!!
Mambo ya kila siku nyumbani kama wazee siyapendi
mara moja moja tunakua tunawaacha nyumbani watoto tunaenda zetu honeymoon hata siku tatu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ndoa haikufai kama wewe ni kilaza
 
Kabisaaa ata nikiwa na wewe kwenye mahusiano kama ulikuwa una pendeza af ukanizoea ukaanza jiachia na kukimbi
 
mshua kaweka vitu viwil kwa sentens moja Ndoa na Familia
Familia sio Ndoa unaweza kua na familia na usiwe na Ndoq

Ndoa ni muunganiko wa hiari kati ya mtu Me na mtu Ke
 
bro kwenye pati ya mikazo kaweka mpaka vifungu vya kibiblia kwingne katoa mawazo yake tu😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…