Je, Ndoa ni Jela ya Wanaume? Je, walioko ndani wanatamani kutoka?

Tutazunguka mbuyu lakini mwishoe tutakuja kukubaliana kwamba ndoa imeshapitwa na wakati. Haiwezekani kuwa na feminism society na taasisi za ndoa na familia zikabaki salama
Tafuta mwanamke ambaye Hana chembe chembe za ufenism uoe uache kuishi kihuni.
Mwanaume kuna umri ukifika bila ya kuwa na mke unakuwa fala Fulani tu.
 
Wewe ndiyo unawaona ni masikini! Wao ndani yao wameridhika na walichonacho na probably wanajiona matajiri. Hawana pressure so Wana amani.
Huoni masikini wa mjini anaonekana tajiri kijijini.. au masikini wa ulaya anaonekana tajiri hapa Bongo.
Hakuna kitu kama hiko, kuna watu vijijini wana maisha kuliko mjini na masikini wa ulaya anaweza kuja bongo kaonekana masikini tu vile vile, kuna wazawa wangapi wameajiri wazungu kutoka EU na US... kwamba homeless wa US akija bongo ni tajiri? hivi unaelewa utajiri maana yake ama unaongea tu kiongozi?

Hio ni misemo tu, kuna mtu unatoka mjini ni masikini na kijijini unafika unaonekana umechoka vile vile....

Hivyo narudi pale pale huko kijijini kuna wana ndoa ni wazee, na unakuta kwenye ndoa wana miaka 60... kazi zao ni kulima na kufuga...

Na mjini kuna masikini pia kwenye ndoa wana miaka mingi tu hadi wamezeeka... na matajiri wapo pia kwenye ndoa muda mrefu tu...

Hivyo umasikini na utajiri si hoja..
 
Acha uogaa ndugu karibu kwenye chama la wanandoa karibu sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…