Tutazunguka mbuyu lakini mwishoe tutakuja kukubaliana kwamba ndoa imeshapitwa na wakati. Haiwezekani kuwa na feminism society na taasisi za ndoa na familia zikabaki salama
ngoja nikutafutie namba ya jamaa yangu umwuulize hilo swali. yeye alikuwa na wanawake kadhaa kawafukuza wote saivi anaishi mwenyewe na bahati mbaya saivi yeye mwenyewe anaumwa hoi yupo kitandani tu.