ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Karibuu
Nakuja PM nikwambie kitu kuhusu ulimwengu wa roho. Utashangaa sana 😂😂😂🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Kuna swali huwa ninalojiuliza sana peke yangu, naomba nishare hapa
Utasikia watu wakisema ulimwengu wa roho, ulimwengu wa siri. Hivi huo ulimwengu huwa ni upi?
Je, mambo ya ulimwengu wa roho au ulimwengu wa siri huwa ni pamoja na ndoto tunazoota usiku au mchana?
Au tuseme ndoto huwa ni dunia au ulimwengu mwingine?
Kwa sababu unapoota ndoto huwa ni kama upo kwenye ulimwengu au dunia nyingine. Maana unakuwa umelala, lakini ni kama bado kuna mambo yanaendelea kwenye akili yako
Wengine husema ndoto huwa ni matokeo ya mawazo, msongo wa mawazo uliozidi, maongezi au vitendo vya muda fulani
Ndiyo huwa ubongo unakuwa kama unarudi kwenye yale mambo
Mimi binafsi nakiri kuna ndoto zingine mtu huota huwa ni matokeo ya mawazo, shughuli za kutwa nzima au kile akili inachowaza au inachokitamani kifanyike
Unajikuta ukiota hivyo, na unapoamka unajua kabisa hizi ni fikra za mchana kutwa na mawazo tu
Au kuota mambo ya zamani, mfano shule, marafiki wa utotoni n.k. Na hii ya shule wengi wanasema wameota, ila mimi sijawahi kuota kabisa ndoto ya shule
Ninakuwa tu na ndoto zangu kivyangu, ambazo sioni hata watu wakizizungumzia
Swali linakuja kwenye ndoto ambazo nitaziita prophetic dreams, kwa sababu ni ndoto unaota kitu kitakachotokea mbele
Nasisitiza, kitu kitakachotokea mbele. Unakuta siku moja kabla au siku mbili kabla
Hii inanifanya nawaza sana, hivi huwa ni kitu gani kinatokea?
Yaani unaota ndoto kuhusu kitu fulani, halafu kikitokea unakuwa shocked 😲
Ukimwambia mtu haamini, anaona ni uongo, kama unapenda kujifanya special
Hivyo unabaki nayo mwenyewe
Pia kuna mtu ana uwezo wa kusoma mtu anachokiwaza
Yaani mfano ukiwa unachat na mtu unaweza ukawa unahisi huyu fulani ana nia fulani, aidha ana chuki fulani dhidi yangu, japo anaweza kuwa anapretend love
Na kweli hatachukua muda mrefu anajifunua rangi zake halisi
Lakini point kubwa hapa ni, inakuaje mtu anaota mambo yajayo? Ni nini huwa kinatokea??
Au huo ndio huitwa ulimwengu wa roho au wa siri?
Nitatoa mfano. Kuna ndoto niliota kuhusu watu fulani
Hao watu sikuwahi kuwajua kabla na hakuna namna ningewajua
Ila ajabu, hiyo ndoto niliyoota na majina yao kwenye ndoto, nilivyokuja kufahamu baadaye ilikuwa the same names
Yaani hata kama ningemwambia mtu asingeelewa, angesema nataka sifa
Niliwahi kuishi na mtu fulani
Huyo nilikuwa namwambia sana, Nimeona hivi katika ndoto kuhusu wewe,na kweli baada ya siku anakutana na situation kama hizo
Akawa ananiuliza, Wewe ni mganga au mchawi?😢😂
Ni mambo mengine mengi, ila hayo machache yanaeleweka
Je, kuna wengine wapo hivi?
Huota mambo halisi kabisa?
Nini sababu?
Faida au hasara?
Welcome Guy's
ShesRise_1 🤚
Wanasayansi wanaamini kuwa hii ni kazi ya ubongo kuchanganua taarifa kwa siri, wakati viongozi wa dini na jamii nyingi wanaamini ni ujumbe kutoka ulimwengu wa roho.Kuna swali huwa ninalojiuliza sana peke yangu, naomba nishare hapa

Shukrani so hua hizo ndoto zinatokeajeNdoto za mambo yajayo ni matokeo ya ulimwengu wa roho. Hizi kwa jina lingine huitwa maono. Humtokea mtu akiwa hajawaza jambo lolote kuhusiana na ndoto husika, zenyewe huja kama ishara ya kukuonesha nini kinachoweza kukutokea, au kitakutokea siku za mbele.
Baada ya kuota hizo ndoto, linafuata jambo lingine muhimu, ambalo ni uwezo wa kuzitafsiri ujue maana yake, kwani sio zote huja na maana ya moja kwa moja, nyingine huja kwa namna ya kujificha hivyo lazima muotaji aweze kuwa na uwezo wa kuijua maana, au aulize kwa wengine ili aambiwe maana.
Njoo kama PM ipo 😂Nakuja PM nikwambie kitu kuhusu ulimwengu wa roho. Utashangaa sana 😂😂😂🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Kaka umeeleza vizuri mnoo utafiti zaidi unaitajikaKatika mwili wa binadamu Kuna vitu vingi bado havijagunduliwa jinsi vinavyofanya kazi...
Mfano Ubongo wa binadamu ni very complex kiasi kwamba..ugunduzi wa mambo mbalimbali bado unaendelea kuvumbuliwa..
Ndio maana ndoto binadamu anazoota Kuna vitu vinafanyiwa research...
Kuna watu wakiota ndugu yake labda anaumwa... Kesho yake wakipiga simu wanaambiwa alikuwa hoi kapata nafuu
Au hata sio ndoto tuu.. Kuna watu Ubongo unampa hisia tuu..ondoka hapa.. baadae mnasikia sehemu imevamiwa au Kuna shida imetokea eneo Hilo
Ila sio Kila mtu Ubongo wake unaweza haya mambo.. na ndio maana Kuna tafiti zinafanyika ili kujaribu kuangalia Ubongo wa binadamu na mazingira yake
Wataalamu wa tafiti wanasema Kuna extra sense..(mlango wa ziada wa fahamu) hasa ndoto au hisia ya kitu ambacho ukioni lakini Ubongo unakupa taarifa hasa katika hali ya utulivu sana
PoleeeNiliota napokea milioni miatano sasa ile nafika benki niweke kwenye account ili na jaza form tu.Nashituliwa na mke kuna vibaka wameruka.Nilikasilika
Kuna swali huwa ninalojiuliza sana peke yangu, naomba nishare hapa
Utasikia watu wakisema ulimwengu wa roho, ulimwengu wa siri. Hivi huo ulimwengu huwa ni upi?
Je, mambo ya ulimwengu wa roho au ulimwengu wa siri huwa ni pamoja na ndoto tunazoota usiku au mchana?
Au tuseme ndoto huwa ni dunia au ulimwengu mwingine?
Kwa sababu unapoota ndoto huwa ni kama upo kwenye ulimwengu au dunia nyingine. Maana unakuwa umelala, lakini ni kama bado kuna mambo yanaendelea kwenye akili yako
Wengine husema ndoto huwa ni matokeo ya mawazo, msongo wa mawazo uliozidi, maongezi au vitendo vya muda fulani
Ndiyo huwa ubongo unakuwa kama unarudi kwenye yale mambo
Mimi binafsi nakiri kuna ndoto zingine mtu huota huwa ni matokeo ya mawazo, shughuli za kutwa nzima au kile akili inachowaza au inachokitamani kifanyike
Unajikuta ukiota hivyo, na unapoamka unajua kabisa hizi ni fikra za mchana kutwa na mawazo tu
Au kuota mambo ya zamani, mfano shule, marafiki wa utotoni n.k. Na hii ya shule wengi wanasema wameota, ila mimi sijawahi kuota kabisa ndoto ya shule
Ninakuwa tu na ndoto zangu kivyangu, ambazo sioni hata watu wakizizungumzia
Swali linakuja kwenye ndoto ambazo nitaziita prophetic dreams, kwa sababu ni ndoto unaota kitu kitakachotokea mbele
Nasisitiza, kitu kitakachotokea mbele. Unakuta siku moja kabla au siku mbili kabla
Hii inanifanya nawaza sana, hivi huwa ni kitu gani kinatokea?
Yaani unaota ndoto kuhusu kitu fulani, halafu kikitokea unakuwa shocked 😲
Ukimwambia mtu haamini, anaona ni uongo, kama unapenda kujifanya special
Hivyo unabaki nayo mwenyewe
Pia kuna mtu ana uwezo wa kusoma mtu anachokiwaza
Yaani mfano ukiwa unachat na mtu unaweza ukawa unahisi huyu fulani ana nia fulani, aidha ana chuki fulani dhidi yangu, japo anaweza kuwa anapretend love
Na kweli hatachukua muda mrefu anajifunua rangi zake halisi
Lakini point kubwa hapa ni, inakuaje mtu anaota mambo yajayo? Ni nini huwa kinatokea??
Au huo ndio huitwa ulimwengu wa roho au wa siri?
Nitatoa mfano. Kuna ndoto niliota kuhusu watu fulani
Hao watu sikuwahi kuwajua kabla na hakuna namna ningewajua
Ila ajabu, hiyo ndoto niliyoota na majina yao kwenye ndoto, nilivyokuja kufahamu baadaye ilikuwa the same names
Yaani hata kama ningemwambia mtu asingeelewa, angesema nataka sifa
Niliwahi kuishi na mtu fulani
Huyo nilikuwa namwambia sana, Nimeona hivi katika ndoto kuhusu wewe,na kweli baada ya siku anakutana na situation kama hizo
Akawa ananiuliza, Wewe ni mganga au mchawi?😢😂
Ni mambo mengine mengi, ila hayo machache yanaeleweka
Je, kuna wengine wapo hivi?
Huota mambo halisi kabisa?
Nini sababu?
Faida au hasara?
Welcome Guy's
ShesRise_1 🤚
Asantee sana DWanasayansi wanaamini kuwa hii ni kazi ya ubongo kuchanganua taarifa kwa siri, wakati viongozi wa dini na jamii nyingi wanaamini ni ujumbe kutoka ulimwengu wa roho.
Katika upande wa sayansi, watafiti wanaeleza kuwa ndoto hizi zinatokana na uwezo mkubwa wa akili yetu isiyotambua (subconscious mind).
Wakati tukiwa macho, ubongo unakusanya mamilioni ya taarifa ndogo ndogo ambazo hatuzitilii maanani, na tunapolala unaziunganisha ili kukadiria nini kinaweza kutokea mbeleni.
Pia, sayansi inataja suala la kubahatisha, kwani binadamu huota ndoto nyingi sana lakini anakumbuka tu ile moja inayotokea kweli na kuona kama ni miujiza.
Kwa upande wa kiroho, ndoto hizi hutazamwa kama njia kuu ya mawasiliano kati ya binadamu na ulimwengu usioonekana. Vitabu vya dini na imani za kijamii vinaamini kuwa ndoto za namna hii ni ujumbe, mwongozo, au tahadhari kutoka kwa Mungu, malaika, au mababu ili kumsaidia mtu kujiandaa au kuzuia jambo baya.
Wengine huamini kuwa mwili unapolala, roho ya mwanadamu husafiri na kuona matukio ya mbeleni kabla hayajatokea kwenye ulimwengu wa nyama.Mwisho kabisa, hakuna upande mmoja unaoweza kubatilisha kabisa upande mwingine.
Watu wengi huchagua kuamini mchanganyiko wa yote mawili, yaani ubongo ni chombo cha ajabu cha kibaolojia ambacho pia kinaweza kutumika kama daraja linalounganisha binadamu na ulimwengu wa kiroho.
Mambo yako ya kamnyweso 😂Uzi mzuri sana , ningekujibu ila kwa sasa akili yangu inasoma bia 100% jambo ambalo ni ukweli yakinifu
Asantee sana D
nadhani watu huchagua baadhi ya ndoto kuotokana na uzito wake na uhakisia wake
Yes wanaomini Mungu husema hivyoDeja Vu au Maono ni halisi. Yako na binafsi ninayaamini.
kukubali au kutokubali kuwa mambo kama haya je ni ya kiroho, mawazo au intution ya mtu husika ndio hasa suala la kuhoji.
wanaoamin kuna Mungu watasema ni mambo ya kiroho na maono.
Wasioamini Mungu watueleze hizo patten zinafanyaje kazi mbali na hapo hoja yao nyepesiWasioamini Mungu watasema ni mawazo yako ya mara kwa mara au ni pattern tu na Ubongo umetengeneza hilo tukio baada ya kuwaza sana.
Safiiii♥️Ila mm niko Upande wa Kiroho zaidi.
Kuna nguvu iko ndan yetu. Na sio Ubongo pekee.
Nitakuja kulala chumbani kwa D endelea kunitisha 😂