nodetz
Senior Member
- May 4, 2024
- 173
- 156
Kimsingi huwa nashindwa kuelewa kivipi msimamo wa Nelson Mandela baada ya kutoka gerezani ulibadilika?.
Wengine usema Mandela aliyeingia gerezani na Mandela aliyetoka gerezani ni wanaume wawili tofauti.
Baada ya kusoma historia yake unaweza kuona Mandela aliyefungwa jela alikua ni wamoto sana alikua yuko wazi kuwa hakuna namna angeweza kushirikiana na makaburu.
Baada ya miaka 27 jela watu wakisubiri mandela mwenye msimamo mkali zaidi baadala yake akaja Mandela anaye itaji maridhiano na kushirikiana na watu walio muweka jela.
Hii ni ajabu sana kwa mtu mwenye kufikiri kwa kina.
Sijawai kuelewa kwanini Mandela anatambulika kama Shujaa wa afrika wakati watu kama nyerere wanachukuliwa poa japo sisi waafrika tunajua makubwa waliyoyafanya hasa kuutetea uhuru wa waafrika.
Je historia kuna namna inapindishwa ili kutufanya vipofu?