Kuna tofauti Kati ya siasa za harakati za ukombozi na siasa baada ya ukombozi, Nelson Mandela aliishi maisha ya kiuongozi baada ya kumaliza mchakato wa ukombozi.
Siasa za visasi kwa watesi wake zisinge mtofautisha yeye na hao watesi wake na ingeondoa maana nzima ya kupinga ukatili,uonevu,ubaguzi nk wakati nae angeishi maisha yale yale.
Mwalimu Nyerere aliwahi sema "Hutukuwapinga makaburu sababu ya ngozi Yao bali matendo Yao,hata wewe mtu mweusi ukiwa na matendo kama ya makaburu nawe ni kaburu"
Inahitajikq akili kumuekewa Mandela ila kwa nyie wapenda visasi kama watu wa Haiti hamuwezi elewa.