Je, nguvu kubwa ya Simba SC iwe ni katika hamasa ya Mitaani au kuiandaa timu Kisayansi (Kiufundi) ili ishinde?

Je, nguvu kubwa ya Simba SC iwe ni katika hamasa ya Mitaani au kuiandaa timu Kisayansi (Kiufundi) ili ishinde?

Mbona Id ya 2015 mkuu hivi inakuaje

1649956437167.png
 
Najiandaa kuona je, na Orlando Pirates FC nao kabla ya kucheza na Simba SC Kwao Afrika Kusini na wao watahamasisha Mashabiki wao Kuzurula hovyo Mitaani ili Kuujaza Uwanja na Washinde kwa Nyimbo za Hamasa na Tambo za Hekaya za Abunuasi?
Mpumbavu ataandika mawazo yake ya kipumbavu.

Kucheza kisayansieni kazi ya benchi la ufundi na wachezaji.

Hamasaeni kazi ya mashabiki.

Mpumbavu huwa hajui mashabiki Ni mchezaji namba 12 .

Kwahiyo na Orlando wakifanya basi Ni kitu sahihi. Hizi Ni zile mentality kwamba wakifanya wazungu kitu basi Ni sahihi na bora. Na kazi ya mwafrika kazi yake Ni kuiga tu,

Hakuna utopolo mwenye akili, au nasema uongo ndugu zangu
 
Huyu Mnyarwanda siku hizi anaichukia sana Simba, sijui wamemkorofisha nini! Sijui wamemnyima nafasi kwenye kamati ya ufundi?
 
Back
Top Bottom