Najiandaa kuona je, na Orlando Pirates FC nao kabla ya kucheza na Simba SC Kwao Afrika Kusini na wao watahamasisha Mashabiki wao Kuzurula hovyo Mitaani ili Kuujaza Uwanja na Washinde kwa Nyimbo za Hamasa na Tambo za Hekaya za Abunuasi?
Kucheza kisayansieni kazi ya benchi la ufundi na wachezaji.
Hamasaeni kazi ya mashabiki.
Mpumbavu huwa hajui mashabiki Ni mchezaji namba 12 .
Kwahiyo na Orlando wakifanya basi Ni kitu sahihi. Hizi Ni zile mentality kwamba wakifanya wazungu kitu basi Ni sahihi na bora. Na kazi ya mwafrika kazi yake Ni kuiga tu,
Hakuna utopolo mwenye akili, au nasema uongo ndugu zangu