Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Usikope kuanzisha mradi ama biashara, kopa ili kuendeleza....si maneno yangu bali ni maneno ya kijana wangu mmoja aliepo makao makuu CRDB.Genius
Asante sana. Umetoa somo mubashara sana Chief.
Wengi sana wakichukua mikopo hufanya makosa kama ulivyoainisha hapo juu nakuishia kulia na kuhangaika. Sometimes mkopo hubadilika kua laana. Asilimia kubwa sana ya watu hawana elimu uliyotoa hapa - wengi sana
Mimi ni nani hata nikope bank, wacha nife maskini tu.