Easy Chair Mark III
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 897
- 1,369
Sekta ya real estate KWA Tz NA Afrika yote haijaendelea sana, kwanza ndio imeanza miaka ya hivi karibuni.Okay. Nitajie matajiri (Watanzania weusi) waliofanikiwa kwenye Real estate -usinitajie madalali was viwanja)
KWA Tz sekta hii imeathirika zaidi na zaidi kwa miaka mingi kutokana NA sera mbaya kabisa ya Ujamaa, Azimio LA Arusha NA Operesheni Vijiji ambayo IPO tangu enzi za Mwl. Nyerere.
Watu waliojaribu kujenga nyumba au majengo ya biashara walionekana kuwa ni maadui ktk nchi, NA walibatizwa majina mbalimbali NA mabaya yasiyofaa kama vile, kupe, wanyonyaji, makabaila, mabwanyenye, n.k. Nyumba zao ziltaifishwa NA Serikali, Leo hii nyingi zinamilikiwa NA NHC.