Je, ni busara kujenga nyumba kwa milioni 150 kisha kukusanya kodi laki 6 kwa mwezi?

Je, ni busara kujenga nyumba kwa milioni 150 kisha kukusanya kodi laki 6 kwa mwezi?

Mm nimeanguka mara 12 zote chali juzi nimefanya mahesabau nanwife 100m zemeenda biashara inachangamotk zake sanankwa hapa tanzania uliwa mkweli hupati faida kbs
Duuh mimi nimewekeza biashara ya aina moja ila hadi sasa hivi imepotea m10 na naona nyingi sana hadi nataka niachane nayo..nikanunua kiwanja majirani wanajenge kinoma na mimi nimepata mizuka ya kujenga lakini mimi nataka niishi humo sio kuipangisha..
 
Mkuu kuna kitu haujui kwenye real estate business.., nayo ni Other Peoples Money.., pia kitu kinaitwa Property Ladder..

Moja hakuna mtu wala sio busara kujenga nyumba kwa cash au pesa yako.. (it takes long kwa return on investment)

Hivyo basi katika hii real estate.., mtu anakopa benki anajenga nyumba hata ikichukua miaka 20 kurudisha ile pesa, hajengi moja..., hio aliyoshajenga anaiombea mkopo benki anajenga nyingine na nyingine na nyingine hii miaka 20 inakuwa sio ya kupata pesa ya kula bali wapangaji ndio wanaomnunulia hizo nyumba.., after the end of 20 years anakuwa amejenga nyumba bila kutumia senti yake hata moja.. (thus other peoples money)... na property ladder unaanza na nyumba moja unakopa unajenga ya pili, tatu, nne n.k.

Cha maana ni Location, Location, Location na sio muda wa kumaliza hio investment.., Walijisemea wachina wote tungetaka kupata kivuli cha miti tunayopanda hakuna mtu angepanda mti..., 20 years in nothing if someone else is paying..

nakuacha na msemo mwingine "As Safe as a House..."
Investment ya kusubiria return miaka 20? 2019 nianze kupata faida 2039?? Excuse me!
 
Hoja yako nini hapa? Kwa sababu kuwa na bahati ya kupata eneo kama hilo ni bahati sana na inatokea kwa wachache mno!
Hoja ni value for money au kuna lingine unataka nikutafunie
 
Unatumia kigezo gani kuiuza hio nyumba milioni 200-300 yani ni jambo gani linalofanya uamue kuuza hivyo..
Labda location,hali ya uchumi, maendeleo yaliyopita hapo mf lami nk

Mfano mbezi goba ilivyokuwa kabla na baada ya lami...inakua kwa kasi sana hata bei za viwanja ni usipimee
 
Mawazo ya vitabuni ( PhD Holders) haya. Nenda Masaki na Oysterbay uone Real Estate inavyochechemea. Mjini PPF House wapangaji hamna

Kuna factors nyingi ndogo ndogo zinazoathiri real estate investments, baadhi ni location or locality, mazingira ya kisheria na ya Kisiasa ktk sehemu husika and general trends of economy ktk jamii au nchi husika. But, all in all, hizo factors Mara nyingi huwa zinaathiri sekta ya real estate KWA muda Fulani tu, athari zake ktk soko huwa hazidumu milele, unless kama nchi husika imetumbukia ktk machafuko mabaya ya vita au imekumbwa na disastrous natural calamities, eg.tetemeko LA ardhi, tufani, tsunami, etc.
 
Endelea kuandika Dissertation yako Arguments za kukariri. Eti factors ni za kip individual kifupi? Sasa benki marejesho utapeleka hizo Factors?
 
Investment ya kusubiria return miaka 20? 2019 nianze kupata faida 2039?? Excuse me!
Ndipo hapo haujaelewa faida ya hio investment ni nini kwako ? Sio pesa tu bali collateral ya kuweza kukopa zaidi kesho na keshokutwa.., na hio investment haujaweka pesa yako ni Benki na Wapangaji ndio wamekujengea.., (that's Real Estate in a Nutshell) tofauti na hapo unakosea kanuni za hili game...
 
Labda location,hali ya uchumi, maendeleo yaliyopita hapo mf lami nk

Mfano mbezi goba ilivyokuwa kabla na baada ya lami...inakua kwa kasi sana hata bei za viwanja ni usipimee
Kuna nyumba fulani ipo ilala ilianza kuuzwa 1.2bil hadi leo ipo 600m haijauzwa imepita lami hadi kwenye hio nyumba, pia kuna kasri moja lipo karibu na chuo cha DSJ yani ni opposite na DSJ linauzwa 1.2bil hadi leo halijajengwa hio nyumba ukitoka nje tu lami ukitembea dakika 5-7 umefika kituoni lakini bado hakuna wanunuzi
 
Ndipo hapo haujaelewa faida ya hio investment ni nini kwako ? Sio pesa tu bali collateral ya kuweza kukopa zaidi kesho na keshokutwa.., na hio investment haujaweka pesa yako ni Benki na Wapangaji ndio wamekujengea.., (that's Real Estate in a Nutshell) tofauti na hapo unakosea kanuni za hili game...
Okay. Nitajie matajiri (Watanzania weusi) waliofanikiwa kwenye Real estate -usinitajie madalali wa viwanja)
 
Kwangu naona Bora Uichukue mkopo ununue viwanja kuliko kujenga nyumba. Lakini Kama utahitaji kujenga nyumba kwa wenye uwezo wa kawaida basi Jenga nyumba ndogo unayoweza kuipangisha bila hasara.
 
Kujenga nyumba za kupangisha hutakiwi kuweka mambo mengiiii, kama bati za kupaulia ni za kawaida tu, madirisha huweki dirisha za aluminum ,kwenye rangi ndiyo inupiga rangi ya ukweli, marejesho yake ni ya muda mfupi tu na faida utaiona
Kwa ujenzi huo ndo umpangishe mtu laki 6 Kwa mwezi?
 
Back
Top Bottom