mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Hahahaha,kumbe umegundua mkuu.Wahindi wengi nchini hawamiliki nyumba ila wamefikia utajiri wa kutisha. Sisi wabantu tunakimbilia kujenga Mapinga, sijui Mkuranga watoto tunawapeleka st.kayumba bado utegemee maajabu maishani
Mimi nilikuwa na rafiki zangu wahindi tunafanya nao kazi ndio walinifungua akili.
Walikuwa wananiuliza umeinvest kiasi gani Hadi Sasa na akaunti yako Ina pesa kiasi gani?
Mimi nikawa nawajibu sina kitu hela zote nimenunua kiwanja na kuanza ujenzi,Kisha wananiuliza kwa mfano ukifukuzwa kazi ghafla utafanya nini?
Basi walikuwa wananicheka sana.