CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
Mi nadhani kama mtu unaamua kufanya biashara ya nyumba ya kupangisha,basi Ni lazima uachane na kujenga nyumba ya gharama,la sivyo hela yako haitarudi na mwishowe faida waje waitumie wanao.Ni vizuri mtu ujenge mahala pakuishi kwanza then uje na ujenzi wa nyumba za kupangisha...na tena nyumba za kupangisha iwe ni unajega ghorofa hata floor mbili tu ili uanze kukusanya haraka kodi, pia nyumba za kupangisha kama upo eneo ni zuri usitumie gharama kubwaa kujenga maana itakuchukua muda kurejesha,
Nyumba ya kupanga unajenga tu simple kwa material simple ila muhimu ni kupga finishing matata...hata kama ulitumia mbao za hovyo hazionekani..Matofali hata ukinunua used Fresh tu (nyumba ya kupanga hiyo) ilimradi kitu kiinuke.
Kusanya Kodi weka akiba mfukoni...Haya mambo ya kujenga nyumba za kupanga kwa sifa ili uonekane baba mwenye nyumba umetumia hela HUO NI UDUANZI na hiyo biashara hautoona matunda yake.