Na hizi ndizo akili za mwafrica per se.nyumba za kupangisha inategemea na location, hakuna asset nzuri kama nyumba, siku umezeeka huna nguvu za kufanya kazi huku watoto wako hawaeleweki mara wengine wapiga debe, boda boda ndio utaona faida yake,
... pamoja na somo zuri, sijamwelewa jamaa mleta mada! Hivi kwanini uwekeze 150 m/- kwa return ya 600k monthly? Kwanini kwa the same capital usiwekeze kwenye guest house/lodge ambayo chumba ni 30k daily? Ukiwa na vyumba 20 daily unapata 60k ambayo utaipata monthly kwa nyumba ya kuishi! Anyway, hata hivyo alishaonya kwamba ni muhimu kuwa proper plan otherwise gonna fail! Nimemwelewa.Ukijenga nyumba kwa million 150 na kuanza kukusanya kodi ya 600,00. Itakupa rental yield ya 4.8%, siyo nzuri saana, lakini haijambo.
Rental yield ya kuanzia 7% kwenda juu ni nzuri zaidi. Nyumba ni long-term investment. Wanaweza kuja kufaidi matunda watoto wako/wajukuu/vitukuu. Kila kitu ni timing. Hali ya real estate Tanzania kwa sasa ni tete sana.
... kwa mtaji huo jenga g/house/lodge unapata 30k daily per room; ukiwa na vyumba 20 unapiga 600k daily kwa mwezi almost 18m/- kabla ya kutoa gharama za uendeshaji (mishahara, utilities, etc.). Lakini it is far better.Hiwezi kujenga nyumba ya milioni 150 ukapangisha kwa laki sita, kwa nyumba ya gharama hiyo bila shaka itakuwa ina units zaidi ya mbili
Gharama ya kuendesha guest umeziangalia? Utilities, kodi na kulipa wafanyakazi?... pamoja na somo zuri, sijamwelewa jamaa mleta mada! Hivi kwanini uwekeze 150 m/- kwa return ya 600k monthly? Kwanini kwa the same capital usiwekeze kwenye guest house/lodge ambayo chumba ni 30k daily? Ukiwa na vyumba 20 daily unapata 60k ambayo utaipata monthly kwa nyumba ya kuishi! Anyway, hata hivyo alishaonya kwamba ni muhimu kuwa proper plan otherwise gonna fail! Nimemwelewa.
... safari ya Dodoma imeathiri sana real estate business Dar!Nilikua nalipa nyumba laki 6 mwaka 2016 Mikocheni nimehamia Sinza kodi 250,000/= Tshs. Toka nimehama Mikocheni ile nyumba mpaka Leo haijapata mtu. Mwenye nyumba ananipigia simu nirudi atanipunguzia kodi 50% (300,000 Tshs.) Ha ha ha!
... assume una vyumba 20 na kwamba vinakuwa full mwezi mzima unapiga almost 18m/- Now, chukulia 50% ni running cost, unabaki na 9m/- How can you compare this na 600K kwa the same period?Gharama ya kuendesha guest umeziangalia? Utilities, kodi na kulipa wafanyakazi?
Mkuu umenunua plot maeneo gani? na bei uliyotaka kuuza ni ipi? ni PM jibu tafadhali maana naona niko kwenye situation kama yko kwa kiasi flaniNimenunua plot Dar miaka 5 iliyopita sijajenga hadi leo nimejaribu kuuza bei iko chini ya nilichonunulia
Nimewaza kujenga naona gharama kubwa sana na hela zangu hazitarudi
Nyumba ya 20 mil uipangishe kwa 400k?
Wapi ? Nyumba ya 20mil maana yake kiwanja umekipata mbali na mji ambapo watu hawawezi lipa 400k
Tegeta masiteMkuu umenunua plot maeneo gani? na bei uliyotaka kuuza ni ipi? ni PM jibu tafadhali maana naona niko kwenye situation kama yko kwa kiasi flani
Hivyo viwango ni vya mwaka mmoja. Mfano TZS 100,000,000 kwa 3% kwa muda wa miezi mitatu = 100,000,000 X 3% X3/12 = TZS 750,000 faida kwa hiyo miezi mitatu. TRA watachukuwa hapo 10% kodi ya zuio hivyo utalipwa TZS 675,000Mkuu naomba unielezee kwa Lugha Raisi, hapo! Nikitaka kuweka mpunga wangu kwa miezi mitatu faida inakua kiasi gani, hii chart hapa chini sijaielewa.View attachment 1208896
Sasa mkuu unabisha nini? Acha jaziba tulia ajadili nawenzako vizri wewe unajua nyumba iko sehemu gani?Unaishi dunia gani nyumba ya TZS 150 M kwa laki 6? acha uongo,halafu thamani ya nyumba ni tofauti na lori,thamani ya nyumba inaongezeka wakati thamani ya magari inashuka,tatizo Watanzania wengi hatutaki kuwekeza ,tunataka tuanze biashara na faida hapohapo hatuangalii mbele au miaka 10 ijayo,halafu unajiita mfanyabiashara.
Mkuu guest house si mpaka upate kiwanja maeneo ya mjini kitu ambacho si rahisi kihivyo. Guest nje ya mji kupata TZS 30,000 kwa kitanda bado ngumu'; labda Dodoma ambako mahitaji yanazidi idadi ya guest zilizopo kwa vipindi vya vikao vya Bunge... pamoja na somo zuri, sijamwelewa jamaa mleta mada! Hivi kwanini uwekeze 150 m/- kwa return ya 600k monthly? Kwanini kwa the same capital usiwekeze kwenye guest house/lodge ambayo chumba ni 30k daily? Ukiwa na vyumba 20 daily unapata 60k ambayo utaipata monthly kwa nyumba ya kuishi! Anyway, hata hivyo alishaonya kwamba ni muhimu kuwa proper plan otherwise gonna fail! Nimemwelewa.
Hivi ni kipi kimesababisha ugumu kufika level hizi??Nilikua nalipa nyumba laki 6 mwaka 2016 Mikocheni nimehamia Sinza kodi 250,000/= Tshs. Toka nimehama Mikocheni ile nyumba mpaka Leo haijapata mtu. Mwenye nyumba ananipigia simu nirudi atanipunguzia kodi 50% (300,000 Tshs.) Ha ha ha!
Basi kama hivi nadhani mkuu Biashara ya fixed deposit inahitaji mtaji mkubwa sana.Hivyo viwango ni vya mwaka mmoja. Mfano TZS 100,000,000 kwa 3% kwa muda wa miezi mitatu = 100,000,000 X 3% X3/12 = TZS 750,000 faida kwa hiyo miezi mitatu. TRA watachukuwa hapo 10% kodi ya zuio hivyo utalipwa TZS 675,000
Ugumu umesababishwa na watu wengi kujenga nyumba zao kwenye miji mipya kama huko Kigamboni, Tegeta; nkHivi ni kipi kimesababisha ugumu kufika level hizi??
Ni sera za awamu hii ya tano tu au kuna kitu kingine??