Je, ni halali kumpiga makofi mama mkwe anayekukera kila siku?

Je, ni halali kumpiga makofi mama mkwe anayekukera kila siku?

In whatever situation, hata kama mama mkwe amekunyea kumpiga ni laana, its a curse..

Kama wameona hawapeani mimba basi kila mtu ashike njia yake, jibu litapatikana baada ya mwaka ni nani mwenye tatizo.
Unajua maana ya laana
 
Ila mambo mengine yanakera jamani, kwani wazazi wakiacha kuhangaika na ndoa za watoto wao watapungukiwa nini? Vipi kama huyo bi dada ndio angekua mtoto wake angemuambia mkwe wake amuache mwanaye kisa hazai?

Na hapo ukute mwanaume ndio anashida.
Shida ilianza wapi ujue ni pale mama alipopewa UNUNGU wao wanaonaga wao watukufu sana
 
Hiyo ndio ukisikia chizi kakutana na mwenye stress....siwaungi mkono wote,Bibi angepunguza kiherere asingeleta haya na mke angecontrol hasira zake yasingetokea haya
 
Back
Top Bottom