Home First
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 609
- 247
Uvumilivu ni kitu muhimu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hichi kitu napinga! Sio wanaume eote mabaharia, pili kuzaa nje ya ndoa naona ni laana sana. Utamtesa tu mtoto ilihali mimi sikuteseka.Ukiona kwenye ndoa flani hawapati mtoto na BABA hana mtoto hata mmoja wa nje bhasi jua MWANAUME NDO MWENYE MATATIZO. Wanaume hatunaga uvumilivu kabisa aiseee
Aisee sister, wewe ndio humthamini ila sio wengine, sitawasahau wazazi wangu awe baba au mama. Pia wanawake mnatabia ya kudeflect case hata mahali mlipokosea. Tambua kosa kwanza ndio uende mada nyingine. Amepigwa mama mkwe, wewe unaongelea kupiga mke, kwamaana kwamba hutaki kuaccountable kwakosa lako ila unataka umlaumu mtu mwingine. Hata aliyeua mke wake hufanya hivyo ila kila lawama zitakapoenda bado zitamrudia na mwishowe hujiua mwenyewe pia.Wanaume wanavyong'aka kupigwa mama zao, ilhali wao huwapiga mama za watoto wao ndo maana mwanaume hathaminiki na kuvuja jasho kooote ila mwisho wa siku anaimbwa nani Kama mama,
Kama ya moyoni yangetolewa hivyo basi ndoa zote zingekufa na haina haja ya ndoa. Maana kwenye kutoa mahari tu kuna tabia zinaweza kukera ila unavumilia maana ni mama mkwe na baba mkwe ni kama mama na baba yako tu. Hata wazazi wenyewe wanamuda wanaweza kukufanya vibaya, ila kamwe sisahihj kunyoosha mkono juu ya mzazi wako.Mama mkwe mwenye kiherehere, hiyo ndiyo dawa yake, bi dada katoa ya moyoni kwa kumkata vibao mama wa mume asiyejiheshimu
Neno hili "Ndoa na iheshimiwe na watu wote...." halitiliwi mkazo na baadhi ya wazaziKama ya moyoni yangetolewa hivyo basi ndoa zote zingekufa na haina haja ya ndoa. Maana kwenye kutoa mahari tu kuna tabia zinaweza kukera ila unavumilia maana ni mama mkwe na baba mkwe ni kama mama na baba yako tu. Hata wazazi wenyewe wanamuda wanaweza kukufanya vibaya, ila kamwe sisahihj kunyoosha mkono juu ya mzazi wako.
Me sauti yangu so ya kidada nina ongea kwa sauti ya juu siunajua wasukuma........ Hua najiepusha alaf me hua na pigo Moja la kutoka ndukiMdomo unaweza mponza mtu
Wazazi hawatulii kabisa,wanataka kujua kilakitu kuhusu watoto wao kwenye ndoaNeno hili "Ndoa na iheshimiwe na watu wote...." halitiliwi mkazo na baadhi ya wazazi
Pia neno hili "watawaacha baba na mama nao watakuwa mwili mmoja "halipewi kipaumbele na baadhi ya wanandoa, matokeo yake ndio kama haya ya wazazi kuvunja ndoa za wana wao kwa kuziingilia, watoto pia wanakosa adabu kwa wazazi wenye" viherehere ", kwa ufupi wote ni wakosaji.
HakikaKama ya moyoni yangetolewa hivyo basi ndoa zote zingekufa na haina haja ya ndoa. Maana kwenye kutoa mahari tu kuna tabia zinaweza kukera ila unavumilia maana ni mama mkwe na baba mkwe ni kama mama na baba yako tu. Hata wazazi wenyewe wanamuda wanaweza kukufanya vibaya, ila kamwe sisahihj kunyoosha mkono juu ya mzazi wako.
Hata Mimi siwezi kubali mwanangu aoe mke asiyezaa, lazima niingilie Kati, Bahati nzuri Mungu kanijalia watoto wa kiume tu hivyo wajiandae na maneno toka kwa baba two, kwangu wataoa hata wanawake kumi iki tu nipate wajukuu!!Ila mambo mengine yanakera jamani, kwani wazazi wakiacha kuhangaika na ndoa za watoto wao watapungukiwa nini? Vipi kama huyo bi dada ndio angekua mtoto wake angemuambia mkwe wake amuache mwanaye kisa hazai?
Na hapo ukute mwanaume ndio anashida.
[emoji23][emoji23][emoji23]me hata nikiwa sina hasira sauti kubwa mno[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwenzangu na Mimi japo Mimi sauti ya Ivo hutokea nikiwa na hasira [emoji34]
Wazazi hawatulii kabisa,wanataka kujua kilakitu kuhusu watoto wao kwenye ndoa
Daaa,umekaza mkuu🤔Hata Mimi siwezi kubali mwanangu aoe mke asiyezaa, lazima niingilie Kati, Bahati nzuri Mungu kanijalia watoto wa kiume tu hivyo wajiandae na maneno toka kwa baba two, kwangu wataoa hata wanawake kumi iki tu nipate wajukuu!!