Je, ni halali kumpiga makofi mama mkwe anayekukera kila siku?

Wanaume wanavyong'aka kupigwa mama zao, ilhali wao huwapiga mama za watoto wao ndo maana mwanaume hathaminiki na kuvuja jasho kooote ila mwisho wa siku anaimbwa nani Kama mama,
Si ndio hao hao wanaoita wanawake majina mabaya ,kuwatendea mabaya isipokua mama zao tu 😂 kuna mambo yanafurahisha sana
 
Mama mkwe mwenye kiherehere, hiyo ndiyo dawa yake, bi dada katoa ya moyoni kwa kumkata vibao mama wa mume asiyejiheshimu
 
Bora angewashauri hivo huenda angepona mama wa Watu, mimi ninachojua Watu hukaa hadi miaka 10 Ndio hupata au zaidi ya 10 Ndio hufanikiwa
Kweli kabisa ❤️....mpangaji ni mungu na yeye anajua ni wakati gani hasa mtaruzukiwa mtoto....yaan kuna jamii nyingine inataka ndani ya mwaka mmoja Tu imo! Hatar sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732]....wamama walichukia Kweli aisee....maana yule mama alikuwa na nundu paji la USO,Sijui alimpiga kichwa Cha USO...das[emoji17]
Hizi shida zote ni ukosefu wa elimu na umaskini wa kifikra... Kwa wazazi wetu wengi..

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Shida ni udhaifu wa mme. Alipaswa kuwadhibiti ndugu zake akiwemo mama yake na kumlinda mke wake.

Mama na dada zako lazima wajue kuwa ndoa yako haiwahusu na especially kama kuna changamoto za uzazi. Ukishindwa kufanya hivyo, ndoa zako zitakuwa na changmoto kila siku. Leo kwanini hamleti mjukuu, kesho mbona mjukuu amekonda sana, mara mlete kwa babu kuna tambiko!
 
Kakosea sana kumpiga mama mkwe. Binafsi ningemuelewesha tu mama mkwe. Ningemwambia mama nitazaa tu. Na kule chumbani kwetu ningemuambia mme wangu tukatibiwe tujue tatizo ni nini ?
Humjui mama mkwe ananzungumziwa hapa hana.muda wa mazungumza na mkwewe kabisa tena kaja na pea moja tu ya kanga imeandikwa "nimekija kutembea sikufuata umbea" ikichafuka anafua usiku asubuhi anavaa utaongea naye Nini akusikilize?
 
Nitamweleza. Asipoelewa hilo mimi si tatizo langu. Siwezi mtusi Wala kumpiga. Nitaaply njia ya Hannah. Nitamwomba Mungu na nina imani atanipa mtoto/watoto.
 
Ni ngumu sana kuwaelewa binadamu wanataka nini hasa waswahili, mimi binafsi bi mkubwa yupo hapa hapa town lakini kuja kwangu ni issue haji mpaka niende kwake, basi hapo wife napo anamind anaona hapendwi mama mkwe wake haji kwetu.

Kumbe angejuwa ni jambo la kushukuru mama mkwe ambaye hana time na nyinyi mnamalizana kwenye simu au mpaka muende kwake.
 
Ni ngumu sana kuwaelewa binadamu wanataka nini hasa waswahili, mimi binafsi ni mkubwa yupo hapa hapa town lakini kuja kwangu ni issue haji mpaka niende kwake, basi hapo wife napo anamind anaona hapendwi mama mkwe wake haji kwetu.

Kumbe angejuwa ni jambo la kushukuru mama mkwe ambaye hana time na nyinyi mnamalizana kwenye simu au mpaka muende kwake.
Hakika angefurahi sana,angejua🤔
 
Humjui mama mkwe ananzungumziwa hapa hana.muda wa mazungumza na mkwewe kabisa tena kaja na pea moja tu ya kanga imeandikwa "nimekija kutembea sikufuata umbea" ikichafuka anafua usiku asubuhi anavaa utaongea naye Nini akusikilize?
🤣🤣🤣🤣 Hiyo kanga ni balaa
 
Shida ni udhaifu wa mme. Alipaswa kuwadhibiti ndugu zake akiwemo mama yake na kumlinda mke wake.

Mama na dada zako lazima wajue kuwa ndoa yako haiwahusu na especially kama kuna changamoto za uzazi. Ukishindwa kufanya hivyo, ndoa zako zitakuwa na changmoto kila siku. Leo kwanini hamleti mjukuu, kesho mbona mjukuu amekonda sana, mara mlete kwa babu kuna tambiko!
Hakika yaan🤣🤣
 
Wanaume wanavyong'aka kupigwa mama zao, ilhali wao huwapiga mama za watoto wao ndo maana mwanaume hathaminiki na kuvuja jasho kooote ila mwisho wa siku anaimbwa nani Kama mama,
Inabidi wajifunze kitu
 
Si ndio hao hao wanaoita wanawake majina mabaya ,kuwatendea mabaya isipokua mama zao tu 😂 kuna mambo yanafurahisha sana
🤣🤣🤣 Wakati mama zao pia ni wanawake🤸🚴🚴
 
Back
Top Bottom