Je, ni halali kumpiga makofi mama mkwe anayekukera kila siku?

Je, ni halali kumpiga makofi mama mkwe anayekukera kila siku?

Naamini kila kitu hupangwa na Mungu.

Hujapata wajukuu, ipo siku yako ambayo Mungu amekupangia.

Hujapata mtoto endelea kuomba.

Wazazi tuwape watoto uhuru
 
Naamini kila kitu hupangwa na Mungu.

Hujapata wajukuu, ipo siku yako ambayo Mungu amekupangia.

Hujapata mtoto endelea kuomba.

Wazazi tuwape watoto uhuru
Hakika mom❤️❤️🤝
 
Mama hakuwa na busara japo si support kitendo alichofanyiwa.
Mama angetumia busara tu kushauri waende hospitali wapime wajue tatizo liko wapi.
Kuna watu wanakaa kwenye ndoa miaka 10 hawapati mtoto,wengine wanabeba mimba zinatoka.
Si vizuri kumuuliza mtu mbona hazai,hujui mangapi anapitia
 
Mungu awasaidie sana wanawake wenye uhitaji wa watoto kiukweli wanatukanwa na kudhalilishwa sana!
 
Mama hakuwa na busara japo si support kitendo alichofanyiwa.
Mama angetumia busara tu kushauri waende hospitali wapime wajue tatizo liko wapi.
Kuna watu wanakaa kwenye ndoa miaka 10 hawapati mtoto,wengine wanabeba mimba zinatoka.
Si vizuri kumuuliza mtu mbona hazai,hujui mangapi anapitia
Tatizo sana yaan
 
Nyie hamjakutana na mama wakwe pasua kichwa unaweza jisahau hata kama ni mama mkwe ukadhani mke mwenza
Huyo watakua walikutana kina tumpe wa2.
Mmoja angekua wakuja huyo maza asingemwacha salama.
 
Kaoa Kitambo,sema ana nyege mshindo[emoji12]
[emoji3][emoji3]aliwahi kunitania wife kwa kutumia neno hilo (nyege mshindo) nakumbuka nilimpa kitomborrrrr cha haja cha kumbembeleza ,sio kwa kukojozwa kule!!!!! Hadi akang'aka kwa kusema "japo ni tamu lakini imekaa kama adhabu babaangu, unanifanya mpaka yatatoka na mapovu baaba", mwisho wa kunukuu.
 
Uongo.dhambi maza kazingua acha apapaswe buana tukofi sio kipigo
 
Unaanzaje kumpiga mzazi ,mama wa mumeo? Angekua mama yake pia angempiga? Angemuelewesha tu na kumvumilia hata akiongea kwani angekatika miguu kwa maneno?. Dhamira itamsuta miaka yote kwamba alimpiga mama mkwe wake.
 
Aisee sister, wewe ndio humthamini ila sio wengine, sitawasahau wazazi wangu awe baba au mama. Pia wanawake mnatabia ya kudeflect case hata mahali mlipokosea. Tambua kosa kwanza ndio uende mada nyingine. Amepigwa mama mkwe, wewe unaongelea kupiga mke, kwamaana kwamba hutaki kuaccountable kwakosa lako ila unataka umlaumu mtu mwingine. Hata aliyeua mke wake hufanya hivyo ila kila lawama zitakapoenda bado zitamrudia na mwishowe hujiua mwenyewe pia.
Maana yangu ni kwamba mnavyothamini mama zenu ndivyo watoto wenu wanavyothamini mama zao ambao ni wake zenu
 
[emoji3][emoji3]aliwahi kunitania wife kwa kutumia neno hilo (nyege mshindo) nakumbuka nilimpa kitomborrrrr cha haja cha kumbembeleza ,sio kwa kukojozwa kule!!!!! Hadi akang'aka kwa kusema "japo ni tamu lakini imekaa kama adhabu babaangu, unanifanya mpaka yatatoka na mapovu baaba", mwisho wa kunukuu.
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom