Je, ni halali kwa Mkuu wa shule kumtoa mwanafunzi nje ya chumba cha mtihani na kumcharaza viboko kisa kusinzia?

Je, ni halali kwa Mkuu wa shule kumtoa mwanafunzi nje ya chumba cha mtihani na kumcharaza viboko kisa kusinzia?

Inategemeana na mtihani mkuu,,siyo kila mtihani mkuu wa shule harusiwi kuingia labda ulikuwa wa ndani ya shule yao nako harusiwi kuingia mfano annual examination mitihani ambayo walimu wakuu hawaruhisiwi kuingia ni national examinations only or national assessment lakini mingine anaingia Kuchitimbo,
 
Sidhani kuwa kuna usahihi juu ya hilo:

Usahihi, ingepaswa mwanafunzi huyo kuhojiwa sababu ya kusinsia katika chumba cha mtihani.

Huenda ana sababu zenye mashiko ambazo ingefaa zaidi asikilizwe ndipo maamuzi mengine yafuatie.
 
Umesikiliza maneno ya upande mmoja afu unaita watu wapuuzi...wewe ndo mpuuzi wa mwisho nenda shule ukaulize acha upuuzi Kuchitimbo,
 
Community healthy japo nasikia imezuiliwa mbali na hapo hakuna maana kozi zote Chemistry na physics lazima
Samahani naomba nitoke nje ya mada kidogo japo wote tupo kwenye elimu. Nina mdogo wangu amemaliza form four na anapenda kusomea course za afya certificate but hajasoma Physics na Chemistry ila ada C,B na D za massomo mengine ikiwemo biology. Je ni course gani anaweza kusomea za afya?
 
Wadau wa elimu naomba msaada.

Ni sahihi Mkuu wa shule kumtoa mwanafunzi nje ya chumba cha mtihani na kumcharaza viboko kisa kusinzia?

Mwanangu kaja na kunisimulia.
Aliechapwa ana umri gani, anasoma darasa la ngapi na ni mtihani gani (wa shule au wakitaifa)?
Je tunajua kwa nini kijana kalala? Tuanzie hapo.
 
Halafu naona umekomaa tu kwa nini msimamizi asimuamshe!Yaani msimamizi aache kazi ya msingi ya kusimamia aanze kuamsha waliolala?
 
Sasa kama mwanafunzi kamaliza mtihani na wengine bado na haruhusiwi kutoka afanyaje Sasa akae tuu active aangalie wenzie na usingizi huja tuu automatic
 
Sasa kama mwanafunzi kamaliza mtihani na wengine bado na haruhusiwi kutoka afanyaje Sasa akae tuu active aangalie wenzie na usingizi huja tuu automatic
Na ukaulize mtu akipiga chafya mbona hatukanwi Wala kupigwa
 
Back
Top Bottom