EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Pengine alitumwa na chalamila afanye hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha utani weweAngempiga hata Vichwa..
Samahani naomba nitoke nje ya mada kidogo japo wote tupo kwenye elimu. Nina mdogo wangu amemaliza form four na anapenda kusomea course za afya certificate but hajasoma Physics na Chemistry ila ada C,B na D za massomo mengine ikiwemo biology. Je ni course gani anaweza kusomea za afya?
Aliechapwa ana umri gani, anasoma darasa la ngapi na ni mtihani gani (wa shule au wakitaifa)?Wadau wa elimu naomba msaada.
Ni sahihi Mkuu wa shule kumtoa mwanafunzi nje ya chumba cha mtihani na kumcharaza viboko kisa kusinzia?
Mwanangu kaja na kunisimulia.
Mtoto kaenda kuchongea,akifeli lawama kwa mwalimu sio kwa mtotoMtu anafanya mtihani halafu analala..!!!
Sifikiri kama mwanangu angepata ujasiri huo wa kuniambia upuuzi
Na ukaulize mtu akipiga chafya mbona hatukanwi Wala kupigwaSasa kama mwanafunzi kamaliza mtihani na wengine bado na haruhusiwi kutoka afanyaje Sasa akae tuu active aangalie wenzie na usingizi huja tuu automatic