Je, ni kipi unaweza kuvaliana na mpenzi wako?

Je, ni kipi unaweza kuvaliana na mpenzi wako?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Kuna baadhi ni unisex havina shida Ila kuna baadhi vinaweza kuleta shida likitokea la kutokea
Shanga
Chupi
Boxer
Mkufu?
Vest?
07cd4428-c277-43f2-8aea-b7bdd1ca798b.jpeg
 
kwenye maswala ya uvaaji mwanamke ananafasi kubwa zaidi yakufaidika kwani anaweza kuvaa chochote chakiume, ila sio mwanaume kuvaa chakike utafanya watu/jamii wakufikirie tofauti. nafikiri vitu vyakike vina identification yakwao ama yakibinafsi ila ya kiume ni universal.
 
Kijana wetu kazini alianguka akapoteza fahamu kwenye kumpa huduma ya kwanza ikabidi tumlegeze mkanda.. Tulichokiona ni less ya underwear ya rangi nyekundu😀
 
Back
Top Bottom