Je, ni kipi unaweza kuvaliana na mpenzi wako?

Je, ni kipi unaweza kuvaliana na mpenzi wako?

Ila mwanaume kukutwa au kuonwa na wanaume wenzio umeva shanga,saa ya kike,chupi ya kike na tusiamini kama ni shoga nivigumu sana tena kama mm ndio hata mlango wakuamin utakua umefungwa kabisa
Bado mtoto wewe!!! Wanaume wengi tu wanavaa shanga na kutembea na vichupi vya wenza wao
Nakumbuka Kuna waziri mmoja kipindi cha jk alipata heart attack akiwa kwenye msafara. Bwana ee alikuwa na lichupi lake la resi material na shanga zake na baada ya kukaa sawa hakujali wala Nini.
 
Dah! 😂 umenikumbusha simulizi ya mwana aliyekuwa akivaa ushanga
Akitongoza wa kwanza anavaa akitongoza wa pili anavua.. Basi ikawa confusion.. Mabishano mtaani kila mwanamke anataka ithibati lama jamaa anavaa au havai😂
😁😁😁 chandu unai chachanduaa, hasa ukutane na chachandu iliyofanyiwa mambo ni 🔥🔥🔥

Mkuwa mmevaa wote moto wa atomic au nuclea unalipuka ... 😁😁😁 dont try this at home 😂😂
 
Bado mtoto wewe!!! Wanaume wengi tu wanavaa shanga na kutembea na vichupi vya wenza wao
Nakumbuka Kuna waziri mmoja kipindi cha jk alipata heart attack akiwa kwenye msafara. Bwana ee alikuwa na lichupi lake la resi material na shanga zake na baada ya kukaa sawa hakujali wala Nini.
Nakumbuka Kuna waziri mmoja kipindi cha jk alipata heart attack akiwa kwenye msafara. Bwana ee alikuwa na lichupi lake la resi material na shanga zake na baada ya kukaa sawa hakujali wala Nini.😂
 
😁😁😁 chandu unai chachanduaa, hasa ukutane na chachandu iliyofanyiwa mambo ni 🔥🔥🔥

Mkuwa mmevaa wote moto wa atomic au nuclea unalipuka ... 😁😁😁 dont try this at home 😂😂
Shanga
Asali
Kisosi
Na beseni lenye maji ya moto yenye iliki na kanga moko💥💥💥💪🏿😋
 
Back
Top Bottom