Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Hmm mindset tu, kuvaa boxer kawaida sana, mimi huwa naziiba kabisa na sifanyii kitu kibaya😂Isije kua ni masharti
Hmm mindset tu, kuvaa boxer kawaida sana, mimi huwa naziiba kabisa na sifanyii kitu kibaya😂Isije kua ni masharti
Ni kawaida tu mapenzi yakikolea, kuna wengine wanaziweka mfukoni wanaenda nazo kazini, anakuwa anavuta kama inhaler akipata chances tu😃Alikuja kujitetea kwamba ni ya maiwake na huwa wanavaliana😁
ChupiKuna baadhi ni unisex havina shida Ila kuna baadhi vinaweza kuleta shida likitokea la kutokea
Shanga
Chupi
Boxer
Mkufu?
Vest?View attachment 3571665
Sio sasa ubebe chupi ka dela, kuna vile vichupi like G-strings and thongs achana na zile high cut 😌💅Hii nimeipenda NITAJARIBU😋😂😎
Sasa mnafanyanini wote na hampemdani? Kufika stage ya kuvaa boxer la mtu means we are kinda close or closer meenh🤪Kama mkiwa mnapendana lakini😂
Unapiga mpaka shanga mwanetu!vyote fresh tu
Nyuma sawa mbele anaeka wapi hizo pvmb?ngoja leo nimwambie avae bikini yangu na shanga,, alf nisingizie hii mimba🤭😁😁 ndo inatamani kumuona hivyo
Yule bidada kasepa na tisheti zangu nyingi sana.Hmm mimdset tu, kuvaa boxer kawaida sana, mimi hiwa naziiba kabisa na sifanyii kitu kibaya😂
nimecheka🤣🤣🤣🤣,,, yani atazibananisha hivyo hivyo mtoto ndo kataka😆Nyuma sawa mbele anaeka wapi hizo pvmb?
pesa inavaliwa @sweetcandy ?Pesa
Bora wewe bidada mimi kuna kijana aliondoka na tshirt zangu wakati mimi nina kipensi chake tu mpaka leo roho inaniuma sana!😒Yule bidada kasepa na tisheti zangu nyingi sana.
Haha si zitapasuka sasa!nimecheka🤣🤣🤣🤣,,, yani atazibananisha hivyo hivyo mtoto ndo kataka😆
Unisexuniversal