Je, ni kipi unaweza kuvaliana na mpenzi wako?

Je, ni kipi unaweza kuvaliana na mpenzi wako?

Bado mtoto wewe!!! Wanaume wengi tu wanavaa shanga na kutembea na vichupi vya wenza wao
Nakumbuka Kuna waziri mmoja kipindi cha jk alipata heart attack akiwa kwenye msafara. Bwana ee alikuwa na lichupi lake la resi material na shanga zake na baada ya kukaa sawa hakujali wala Nini.
Mtaje kwa codes
 
Kuna mtu kachezea vitasa huko Kigamboni kwa kupenda kuvaa kike
1776165397123.jpg
1776165393394.jpg
1776165388812.jpg
 
Back
Top Bottom