pesa haivaliwi mama hivyo umetoka nje ya mada...Pesa
akalale atuachie wala vizazi mada kama hiziBusiness mindset😀
Hizo mpya kazikataa anavaa ninazovaa!Zikamtosha?😀
Kijana wetu kazini alianguka akapoteza fahamu kwenye kumpa huduma ya kwanza ikabidi tumlegeze mkanda.. Tulichokiona ni less ya underwear ya rangi nyekundu😀kwenye maswala ya uvaaji mwanamke ananafasi kubwa zaidi yakufaidika kwani anaweza kuvaa chochote chakiume, ila sio mwanaume kuvaa chakike utafanya watu/jamii wakufikirie tofauti. nafikiri vitu vyakike vina identification yakwao ama yakibinafsi ila ya kiume ni universal.
Isije kua ni mashartiPengine kuna kaharufu kanamvutia
bila shaka cv zilishuka hiyo ndio tafsiri kubwa itakayokuja..Kijana wetu kazini alianguka akapoteza fahamu kwenye kumpa huduma ya kwanza ikabidi tumlegeze mkanda.. Tulichokiona ni less ya underwear ya like tens nyekundu😀
Kama miili inaendana sawaNikivua jeans katupia, akifua tshit katupia... mbaya zaidi downtown haendeshi chuma yake zaidi ya gari yangu mazee alafu imechokaaaa wakati yake bado piruuu..🤣
Hapana ni upendo wa dhatiIsije kua ni masharti