Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Ulitoka mavumbini utarudi mavumbiniardhi/udongo kwani unashida gani na mtu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitoka mavumbini utarudi mavumbiniardhi/udongo kwani unashida gani na mtu?
Logical non sequitur.Eleza kimetokana na nini kama hakuna aliyekiratibu la sivyo hoja yako ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu tu.
Je, mapungufu yana upungufu katika upungufu wake? Kwa sababu mapungufu hayajakamilika?
Hivyo, je, kwa kuwa hayajakamilika katika kukamilika, yamekamilika katika upungufu wake?
Au, hayajakamilika hata kwenye upungufu, kwa kuwa yangekamilika kwenye upungufu yasingekuwapo na yasingejulikana kuwa ni mapungufu?
Ukifikiria sana utaona, kitu ambacho hakina mapungufu hakipo. Kipo, lakini, kuwapo kwake kuna maana hakipo.
Kitu hicho ni nothingness, nothingness ni kutokuwepo chochote, hata vacuum in space si nothingness, kwa sababu ina space. Nothingness yenyewe hata space haina. Haina space, haipo kwenye time. Haipo. Inafikirika tu.
Hiyo nothingness haipo. Kwa kuwa kuwapo kwake ni kutokuwapo.Ikiweza kuwapo nje ya hapo tu, inakuwa si nothingness tena.
Hiyo dhana ya nothingness, kinadharia, ndiyo haina makosa. Kwa sababu ina lowet entropy, hauwezi kupunguza entropy hapo. Huwezi kuharibu, ili uharibu, inabidi uitoe kwenye nothingness.
Hiyo nothingness ndiyo haina mapungufu.
Kitabu cha kusoma ni "Why Does The World Exist: An Existential Detective Story" cha Jim Holt..
With time... Dalton's atomic theory ilikua fact for a very long time,kabla ya kuwa proved wrong, science is a human's understanding of natureUkiondoa habari za jua kuna scientific fact yoyote? Au sayansi yote ni uongo pia?
Ilikuwa fact? Halafu ikawa proved wrong?With time... Dalton's atomic theory ilikua fact for a very long time,kabla ya kuwa proved wrong, science is a human's understanding of nature
Dalton's atomic theory/law ni Kama hizo paukwa pakawa zako za jua,ya Dalton ilikua zaidi ya hizo za juaIlikuwa fact? Halafu ikawa proved wrong?
Unaelewa hata fact ni nini?
Wewe unajua hata hapa JF kuandika hizo shutuma zako dhidi ya sayansi unatumia sayansi?Dalton's atomic theory/law ni Kama hizo paukwa pakawa zako za jua,ya Dalton ilikua zaidi ya hizo za jua
Aaaah unataka kukataa tu bure mbona ni practical kabisa.Hapa unalazimisha.
If nothingness does not exist, how can everything have nothingness?
Kinadharia unaweza kusema hivyo, lakini practically, nothingness and something cannot coexist.
You either have something or you have nothingness (non existence). These two cannot coexist at the same time at the same place.
Because nothingness does not exist. You can't have both existence and non existence.
Vacuum si nothingness.Aaaah unataka kukataa tu bure mbona ni practical kabisa.
Haikatai kuadd nothing kwa kitu chochote tunachokubaliana kipo. Na hata kuiondoa nothing haikatai.
Mfano mathematically 0 + 1 = 1
Hata 1 - 0 = 1 ileilee! Utasema mathematics is still too abstract?
Haiya twende physically, hata tukipima atomu leo hii tunakuta ndani yake kuna nafasi kubwa tu ya utupu.
Majority of space in atoms is nothingness. And atoms are building blocks of all matter.
Unapata feeling ya wapi nnaelekea Mr. Kiranga?
Spoiler tu ni kwamba: hiyo nothingness unayoiona kwenye atom ndiyo imejazwa na idea, sema tu macho ya sayansi hayatambui wala kupima 'kitu' idea ndo maana yanaconclude tu kirahisi 'it is nothingness in here'
In the grand scale, the cosmos lieth in space, and majority of it is allegedly "empty" space. Apply the thing I said about science being not able to detect or measure idea as is. Apply it to space.
Yeah,so what!?Wewe unajua hata hapa JF kuandika hizo shutuma zako dhidi ya sayansi unatumia sayansi?
ndio kazi ya utendaji hiyo yule amabaye siku yake imefika hata wakiwa millions ndio maana huyu kifo kila sekunde yupo kinafanya kazi yake kwa ufanisi bila makosa bila kupoteza hata sekunde kilichodesigniwa kinafanya perfeclylKifo kina kasoro ndiyo maana kimeshindwa kuua watu wote kwa pamoja.
Kinavizia mmoja mmoja.
Kimeshindwa kufanya kazi yake kinyambisi.
Unaji contradict bila kujua kwamba unaji contradict.Yeah,so what!?
Duuh!Vacuum si nothingness.
Vacuum is not nothingness, vacuum takes space.
Space is not nothingness. Nothingness does not even occupy space.
Kwenye atom hakuna nothingness, kuna a lot of empty space. Empty space is not nothingness.
Empty space has energy, it has virtual particles popping in and out of it.
Jaribu kuelewa somo hili.
Tatizo huwa husomi ukaelewa,mfano wa dalton na atomic theory unajibu hizo porojo zako,hapa natumia technology...technology ni science in action,una faulu na kufeli,science inajumuisha hizo porojo zako za just halitokuwepo miaka 5b ijayo,ni guess workUnaji contradict bila kujua kwamba unaji contradict.
Baniani mbaya, kiatu chake dawa.
Ningekuona wa maana kama ungeanzisha internet yako ya uchawi ya mabua, halafu ukaisema internet ya sayansi.
Sasa hivi hapa ni kama unayakojolea maji na kusema haya machafu siyataki, halafu unayanywa hayo hayo.
Ukitaka kuichamba sayansi, toka nje ya sayansi uiseme tujue unamaanisha unayoyasema.
Sasa hivi unaonekana kama mtu uliyechanganyikiwa tu.
Hapo hapo unaitumia sayansi, hapo hapo unaisema vibaya sayansi.
Baniani mbaya, kiatu chake dawa!
Nothingness ni dhana tu, ambayo tunawez akuifikiria kinadharia, lakini kiuhalisia haipo.Duuh!
Haya umenikamata na semantics. Lakini achana nayo kidogo.
Kwani tunakubaliana kwamba there is such a 'thing' as nothingness au kwako ni there is no nothing?
Muda/time
Muda nao unakimbia sana hio ni kasoro
NI dhana, na kila kitu kina dhana yake hata kiti au kichwa.Nothingness ni dhana tu, ambayo tunawez akuifikiria kinadharia, lakini kiuhalisia haipo.
Ni kama infinity, ni kama Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
Ni kama rangi ya wimbo wa taifa.
Ni kama pembetatu duara.
Unaweza kuisema hiyo dhana, lakini kiuhalisia haipo.
Zote ni dhana za kufikirika tu, kiuhalisia na kimantiki haziwezi kuwepo.