Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Kuna sheria ya mabadiliko mkuu hii haina kasoro kila kitu kinafuata hiyo kanuni.Mtu hana mkono mmoja, je utasema hana kasoro?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna sheria ya mabadiliko mkuu hii haina kasoro kila kitu kinafuata hiyo kanuni.Mtu hana mkono mmoja, je utasema hana kasoro?
Wewe kwanini usiwe na mikoba mutatuMtu hana mkono mmoja, je utasema hana kasoro?
Sina mkoba hata mmojaWewe kwanini usiwe na mikoba mutatu
MikonoSina mkoba hata mmoja
Mkuu,Unaweza kuandika maneno mengi sana haiondoi kuwa unaubishi ambao hauna hata maana.
Jana nilikuuliza swali katika uzi huu #94 ukapotezea tu.
Hupendi kujadiliana na watu GT. Sasa hebu jibu hilo swali kwanza.
Nimelikuambia. Na hii ni mara ya tatu. Unalipotezea.Mkuu,
Kwa hivyo nina ubishi usio na maana kwa sababu sijakujibu swali lako? Au?
Unajuaje hilo swali nimeliona, nimelielewa kama ulivyolielewa wewe?
Narejea post #94
Mkuu jana si wewe niliyekuambia najadiliana na watu wengi sana na nilikuwa kwenye simu kwa hivyo sikuweza kuona maswali yote, nikaomba namba ya post, ambayo ndiyo kwanza naiona sasa?Nimelikuambia. Na hii ni mara ya tatu. Unalipotezea.
Si kweli. Umeandika uongoMkuu jana si wewe niliyekuambia najadiliana na watu wengi sana na nilikuwa kwenye simu kwa hivyo sikuweza kuona maswali yote, nikaomba namba ya post, ambayo ndiyo kwanza naiona sasa?
Au?
Venus Star Swali lako la post #94 unalosema nimelipotezea nililijibu katika post #157.Kinapimwa, lakini kwa kasoro pia, hapo juu nimesema hakuna kisicho na kasoro.
Yani ni kwamba hata kitendo cha kupima kasoro kinaleta kasoro, kusoma ujue kuna kasoro au hakuna kasoro uta disturb unachopima at some level, na kipimo chako kitaleta kasoro.
Kisicho na kasoro ni nothingness, ambayo haipo, kwa sababu ikiwepo tu inakuwa si nothingness tena.
Kwa hivyo hakuna kisicho na kasoro.
Nimeandika uongo nini sasa, uongo kwamba sikukuambia hivyo au uongo sikuwa kwenye simu?Si kweli. Umeandika uongo
sema mwamba nakukubali sana. Huwa unashughulisha sana akili yako. Yaani kwanini hiki kiwe hv na si vile.Kifo kina kasoro ndiyo maana kimeshindwa kuua watu wote kwa pamoja.
Kinavizia mmoja mmoja.
Kimeshindwa kufanya kazi yake kinyambisi.
Asante Mkuu,sema mwba nakukubali sana. Huwa unashughulisha sana akili yako. Yaani kwanini hiki kiwe hv na si vile.
Hukulijibu. Ulilipotezea. Ngoja nikuulize tena. Mara nyingine. Hapa tunaongelea kasoro. Ukasema kitu ambacho chenye efficiency na stability 100% ndicho hakina kasoro.Venus Star Swali lako la post #94 unalosema nimelipotezea nililijibu katika post #157.
Hatutaki kuumiza akili. swali gumu tunaliruka tu.Asante Mkuu,
Hiyo shughuli ya critical thinking na abstract thinking na kuangalia ma logical fallacies na ma contradictions wengi huwa wanaikimbia.
Uongo pale uliposema ndio unaiona sasa. Kisha tena comment nyingine unasema uliijibu. Huoni unaandika uongo?Nimeandika uongo nini sasa, uongo kwamba sikukuambia hivyo au uongo sikuwa kwenye simu?
Be specific please.
Post yako #94 nimeijibu kwa post #157 hapo juu, umeona?
Jibu langu umelinukuu pia, kwa hivyo, kama hukubaliani na jibu langu, sema hukubaliani nalo.
Usiseme swali nimelipotezea, kwa sababu kulipotezea swali ni kama sijalijibu kabisa nimelidharau, kitu ambacho sijafanya.
Kwanza, tofautisha mtu kukujibu swali halafu ukawa hujaridhika na majibu yake na mtu kulipotezea swali.Hukulijibu. Ulilipotezea. Ngoja nikuulize tena. Mara nyingine. Hapa tunaongelea kasoro. Ukasema kitu ambacho chenye efficiency na stability 100% ndicho hakina kasoro.
Kisha ukasema hivi? Efficiency inapimwa kwa kulinganisha kikubwa na kidogo. Squre root ya 4 itakuwa kubwa kuliko square root ya 3.
So efficiency 100% na stability 100% hapo itapatikana vipi kwa kulinganisha vitu ambavyo siyo uhalisia?