Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

Muda nao unakimbia sana hio ni kasoro
Binadam usieridhika wewe kila kitu kimekaa vizuri hakina kasoro hata kidogo ila ubongo wa binadamu ndo una kasoro ndo maana unaona dini inakasoro au elimu ina kasoro
 
Huna point mzee. Kama upo East Africa ni muda wa kulala. Kojoa ukalale. Bye.
Una assume, halafu kabla ya kuuliza upate uhakika, unakimbia na assumption yako ya uongo.

Katika ad hominem attack no less.
 
Una assume, halafu kabla ya kuuliza upate uhakika, unakimbia na assumption yako ya uongo.

Katika ad hominem attack no less.
Nimekuuliza unajibu kwa kuogopa eti siwezi kusoma. Hizo ni dalili za inferiority complex.
 
Nimekuuliza unajibu kwa kuogopa eti siwezi kusoma. Hizo ni dalili za inferiority complex.
Mkuu,

Hupendi ninavyoandika.

Nakupeleka ignore list, kuanzia hapa sitaona posts zako.

Na wewe fanya hivyo ili usione ninavyoandika.

Utakuwa umemaliza tatizo la kuona maandishi usiyopenda kuyaona.
 
Mkuu,

Hupendi ninavyoandika.

Nakupeleka ignore list, kuanzia hapa sitaona posts zako.

Na wewe fanya hivyo ili usione ninavyoandika.
Huwezi kunipangia wewe. Inferiority complex yako kaa nayo wewe. Wewe niweke tu. Mimi sina issue za kitoto hivyo.
 
Wewe debe tupu ndio nijali kuni ignore? nilijaribu tu kuelezea jinsi usivyo jiamini na usivyo weza kuhandle pressure,wewe ni mlaini kama pamba tu,umekariri maswali yale yale kwenye kila thd,sijui contradiction,mtu kama wewe hata mje mmejaa Mabehewa 6 hamna madhara yeyote kwangu coz wewe ni hamnazo ila umekariri vimaneno kama Kasuku.
Wagombanao ndiyo wapatanao akiba ya maneno
 
Logical non sequitur.

Nakwambia mwanamme wa miaka 30 leo hawezi kuwa na mama mzazi wake binti mwenye miezi 6 leo.

Kwa sababu mama mzazi wa mtu anatakiwa kuwa mkubwa kuliko huyo mtoto wake.

Wewe unanijibu "Tuambie mama mzazi wa huyo mwanamme ni nani, usipotuambia unatwanga maji kwenye kinu".

Hivi kweli nahitaji kumjua mama mzazi wa mwanamme wa miaka 30 ni nani ili nijue kwamba binti wa miezi 6 hawezi kuwa mama mzazi wa mwanamme wa miaka 30?

Hivi wewe unaelewa kwamba sihitaji kujua jibu sahihi ni lipi ili kujua kwamba jibu fulani si sahihi?

Unaelewa kwamba nikishajua kwamba square root ya 2 ni ndogo kuliko mbili, mtu akiniambia 10 ni square root ya 2, naweza kujua jibu hilo si sahihi bila hata kujua square root ya 2 ni nini?

Unaniambia square root ya 2 ni 10, nakwambia hilo jibu si sahihi, square root ya mbili ni lazima iwe ndogo kuliko 2.

Wewe unanilazimisha nikwambie square root ya 2 ni nini.

Mimi focus yangu ni kuonesha Mungu hayupo, kuonesha 10 si square root ya 2, kuonesha binti wa miezi 6 hawezi kuwa mama mzazi wa mwanamme wa miaka 30.

Tunaweza kuliangalia hilo kwanza logically kabla ya kutafuta mama wa huyu mtu w amiaka 30 ambaye haijalishi ni nani, hawezi kubadilisha the fact kwamba hawezi kuwa huyu binti wa miezi 6?

Tunaweza kukubaliana kwamba 10 haiwezi kuwa square root ya 2 kwanza kabla hatujaenda kutafuta square root ya 2?
Daaah ushanivuruga mzee
 
'trat' na 'trab' havina kasoro, kasoro zipo kwa wanaotutafsiria kina Mwigulu.
 
Natafuta kitu ambacho hakina kasoro hapa duniani, kitu kikamilifu kwa 100% kitu ambacho huwezi kukuta mawaa ndani yake.

Nimeangalia kama dini, zote zinamapungufu ndani yake.

Kama ni elimu zote zina mapungufu ndani yake, zimekosa majibu mengi.

Kama ni sera za vyama, sera za vuama vyote vimejaa mapungufu

Kama ni kazi za sanaa, zote zina kasoro.
Anaetumika kutambua hizo kasoro (Binaadamu) kajaa kasoro tele hivyo kila anachokiona ni lazima kiwe na kasoro.
 
Back
Top Bottom