Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Mimi siyo mwana historia wa kuandikiwa maandishi meeeengi. Summarize maandishi yako.Kwanza, tofautisha mtu kukujibu swali halafu ukawa hujaridhika na majibu yake na mtu kulipotezea swali.
Mtu kulipotezea swali ni kutoli acknowledge kabisa.
Mfano.
Post 394 kama ungeuliza swali, halafu mimi nisingeigusa kabisa post, hapo ungeweza kusema labda nimepotezea.
Au kama ningegusa post lakini nisitaje kabisa swali lako, hapo ungeweza kusema nimepotezea swali.
Lakini, mtu nimenukuu post, nikajaribu kujibu swali kwa kadiri ya uwezo wangu, wewe hujuridhika na majibu yangu.
Ukisema majibu yangu yana makosa, hukubaliani nayo, nitakuelewa.
Lakini, ukisema swali nimelipotezea, unakuwa unanituhumu kwamba sija li acknowledge swali, wakati nimejitahidi kulijibu kwa kadiri ya uwezo wangu.
Kuhusu efficiency kupimwa kwa kulinganisha kikubwa na kidogo, naomba utumie maneno yangu halisi badala ya kuni paraphrase. Kwa sababu naona hujanielewa.
Naona kama umechukua mfano wangu mmoja unaojaribu kuonesha kwamba mtu anaweza kupima jibu kama ni la kweli au uongo bila hata ya kujua jibu la ukweli ni lipi kwa 100% (habari ya square root ya 2) na kufanya huo mfano kuwa ni definition ya efficiency.
My point was, huhitaji kipimo chenye ufanisi wa 100% ili kujua kwamba efficiency ya system fulani si 100%.
Hilo unalikubali au unalipinga?
Hujitaji macho yenye perfect vision 20/20 ili kujua kwamba hii ndoo imetoboka na inamwaga maji, haina efficiency ya 100% katika kazi ya kubba maji.
Swali lako la kuhoji kama kipimo cha efficiency kina ufanisi wa 1005 lina imply kwamba kipimo cha kupimia efficiency kama hakina efficiency ya 100%, hakiwezi kujua kama kinachopimwa kina efficiency ya 100%.
Hili jambo si kweli, kwa sababu huhitaji macho yenye 20/20 vision, perfect vision, ili kujua ndoo hii haina efficiency ya 1005, ina tobo linamwaga maji.
I am a mathematician. Wewe niambie kifupi tu. Efficiency 100% inapimwa na nini? Na nani anasema hii ni 100%?
Je kipimo kinachopima chenyewe hakipimwi?