Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Chama chetuNatafuta kitu ambacho hakina kasoro hapa duniani, kitu kikamilifu kwa 100% kitu ambacho huwezi kukuta mawaa ndani yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama chetuNatafuta kitu ambacho hakina kasoro hapa duniani, kitu kikamilifu kwa 100% kitu ambacho huwezi kukuta mawaa ndani yake.
Hiyo miaka billioni 5 nani atayefikia katika kuishi?Jua linateketea kama kuni inayochoma moto, katika mchakato wa nuclear fusion.
Na katika miaka bilionin 5 ijayo litaanza kufa, na kabla ya miaka bilionin10 ijayo litazimika nankufa na kutoka nje ya Milky Way Galaxy.
Pia lina sunspots, lina mawaa, halipo perfect, lina kasoro kibao sehemu nyingine zina joto zaidi ya nyingine.
HOJA.Ungesema kwa kifupi kwamba upungufu na ukamilifu havipo isipokua mahitaji ndiyo huviumba kungekua na shida gani?
Fungua uzi mwingine kuhusu Yesu ni Mungu nikujibu inavyopasa kiuthibitisho.Kwani uwepo wa Yesu kunahusiana vipi na uwepo wa Mungu?
Sasa hata wewe ni nani nikukubalie kuwa Yesu si Mungu sababu tu umechagua upande wa wasioamini kuwa Yesu si Mungu pasipo ushahidi wowote?Mkuu,
Kwani watu wote wanaokubali Yesu alikuwepo wanakubali alikuwa Mungu?
Mbona Wayahudi wenyewe ambao wamemuona Yesu tangu anazaliwa hawakubali kwamba ni Mungu?
Mbona Waislamu hawakubali kwamba Yesu ni Mungu?
Mbona Mrumi Tacitus kamuandika Yesu katika historia, lakini hakuamini kwamba Yesu ni Mungu?
Ushawahi kumsoma Tacitus?
Hoja yako haina mantiki, umefanya kama vile kukubali Yesu alikuwepo ni lazima ukubali Yesu ni Mungu.
Logical non sequitur.
Nimecheka sana aisee [emoji16]Ndio kwa mimi sijui wewe, na ni Siri yangu
Siku zote punguwani hawezi kujijua na kujielewa kuwa hazimtoshi isipokuwa Watu ndiyo humjua na kumwona ni punguwani [emoji38]Mkuu,
Hawa watu wengine wanaonesha dalili za wazi za utapiamlo wa ubongo.
Eleza kimetokana na nini kama hakuna aliyekiratibu la sivyo hoja yako ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu tu.Unaweza kuthibitisha kuna aliyekiratibu au unarudia mafundisho ya dini yako tu?
If you can't do your job in the shortest time imaginable, you are not 100% efficient.
Wewe wasema sababu mdomo ni wako na uhuru ni wako, mi ni nani haswaa hadi nikupangie cha kuongea ilihali hujavunja katiba ya nchi? [emoji2]naona mlikuwa pamoja mkipiga stori za mzee YUDA
Buji umeuliza kitu gan hakina kasoro dunian humu? Mungu hayupo duniani humu ameiumba.. dunia ni ndogo kuliko ata tone la bahari kwa Mfalme wa wafalme!Hakika
Wewe debe tupu ndio nijali kuni ignore? nilijaribu tu kuelezea jinsi usivyo jiamini na usivyo weza kuhandle pressure,wewe ni mlaini kama pamba tu,umekariri maswali yale yale kwenye kila thd,sijui contradiction,mtu kama wewe hata mje mmejaa Mabehewa 6 hamna madhara yeyote kwangu coz wewe ni hamnazo ila umekariri vimaneno kama Kasuku.Huyo ni troll anaugulia kuwa kwenye ignore list.
Kujibizana nami ni privilege, sio right.
Naweza kuiondoa muda wowote kwa mtu yeyote.
Mtu akishusha viwango vya mazungumzo na kunikosea heshima ya kawaida tu, namuweka ignore list bila kuona tabu.
Hususan nikiona troll analeta ugomvi na tunaenda kutukanana na kuchafua mazungumzo tu.
Augulie tu maumivu ya ku abuse privilege ya kujibizana nami.
Mkuu wewe mwenyewe umetoka kusema huko juu kuwa kasoro ni perception tu ya watu na si uhalisiaMungu kukaa na siri pekee yake ndiyo kasoro yake.
Anaogopa nini kuziweka wazi?
Una uhakika gani hujafa ilihali hakuna aliyewahi kufa akajitambua kuwa amekufa na kuwaeleza Watu kuwa ameshakufa?Kimenishindwa sasa hivi ndiyo maana nakujibu, kingeniweza sasa hivi nisingekujibu.
Au unafikiri nakujibu wakati nimekufa?
Thibitisha kuwa ni ujinga na umetumia kipimo gani kujiona wewe huna ujinga isipokuwa mimi tu?Kwa hivyo tukifa wote tukakosa mtu wa kutushuhudia kuwa wote tumekufa maana yake ni nini sasa?
Maana yake hatujafa kwa sababu hakuna mtu wa kutushuhudia tumekufa?
Acha ujinga wewe.
Yangekuwa poaHebu fikiria mtu anaambiwa kua siku yake ya kufa ni lini,unafikiri maisha yangekuaje?
Kama madini yote hayo niliyotema hapo umeona upredictability pekee basi hakika una tatizo kwenye ubongo, wahi haraka sana kwa Daktari ukapate ushauri na tiba ili upone.Unpredictability is not perfection.
Logical non sequitur.