Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
muda mchache mambo ni mengi😂Muda nao unakimbia sana hio ni kasoro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muda mchache mambo ni mengi😂Muda nao unakimbia sana hio ni kasoro
Hakuna kitu kinachokuwa subject ya time chenye 100% efficiency.Honestly, katika "dunia ya sasa" haman kitu ambambo kinafikia ufanisi wa 100%
Mkubwa, mpaka sijaua njia ya ku-prove nothingness kama in exist, ladha tuseme hata mathematics na physics haviwezi ku prove exists ya iyo "nothingness" pia inaweza ikawa sio 100% efficiency, what if "Kama "Haipo" - "Ipo".
labda kutetea hii hoja yako unipe mfano, lkn naona haina mashiko kusema inaweza kufikia 100% efficiency.
Kwenye thermodynamic ( Hamna kitu sipendi kama thermodynamic mathematics) pia, Kwenye mfumo wa Quantum System kuna nadharia mbili zinazo sanifu achievement ya 100% efficient.
1. Carnot Heat engine - hii model imesadifiwa kwenye misingi ya thermodynamic. bado ipo theoretically lkn ni moja ya kitu kinacho sadifiwa kufikua level za juu sana kwenye ufanisi (IKiwa implemented successful inafikia 100% efficiency)
2. Quantum system - moja ya system inayotarajiwa kuna ufanisi wa 100%. mfano "atom" mchanganuo wa tabia ya atom upo kwenye quantum mechanics ambapo atom in nnaweza ikawa kwenye hali mbili kwa wakati mmjoa (hapo hapo ni hasi, hapo hapo ni chanya) kumbuka Schrödinger's cat.
3. Kijajiza jazia hapo kwenye quantum system ni quantum computer. ni moja ya computer zitakazokua 100% efficiency kwenye ufanyaji kazi
Nimejaribu kutumia kiswahili napoweza ile wenzangu na mimi tuelewane. kazi ngumu sana
Tatizo kifo chenyewe ni fumbo kwa kutojua roho ya Mtu huenda wapi akishakufa, laiti tungekuwa tunajua kuwa roho ya Mtu huenda pazuri zaidi kula bata kuliko katika hii sayari huenda kila Mtu angetamani kufa hata bila ya kutaka kuishi kwa siku hata 1 tu katika hii dunia [emoji16]Kasoro yake ni moja tu, hakina huruma. Hasa pale kifo kinapowachukua watoto waliozaliwa, hawana hata muda mrefu duniani. Hawajatimiza kusudi la maisha yao, kifo kinawabeba
Unpredictability is not perfection.The death is perfect per 100% because it is unpredictable due to our low thinking capacity to foresee it when it will happen (time), by which means and where?
Your reasons are not sufficiently enough to justify that the death is not perfect because it doesn't kill all of us Human beings hence there's no any one is gonna get a critical evidence on how the death has killed every person in this world without remaining of some Human beings to provide witness to others.
So the apparent reasons to criticize the death is not constantly perfect per 100% is out of your mindsets ability to clarify it effectively.
UUNGU wa Yesu "hakuna kilichoumbwa pasipo au kupitia yeye"Alikuwa binadamu kweli na Mungu kweli.
100% UBINADAMU
100% UUNGU.
UBINADAMU WA YESU.
- kuzaliwa.
-Njaa.
-Matusi.
-Vurugu Hekaluni.
-Kupotea Katika ukuaji.
-Kupitiwa na usingizi wakati chombo kikizama.
- kupigwa kufa nk.....
UUNGU WA YESU.
-Kupata mimba kwa uwezo wa Roho mtakatifu
- kufufua wafu.
-Miujiza mingi vipofu chakula nk.
NENO
- Kutembea Juu ya Maji.
- Kujibadirisha Mlimani.
- Kufufuka Katika wafu.
- Dunia Nzima kulikiri jina lake kama ni Mokozi wa Ulimwengu.
- mwana falsafa no 1 Duniani.
-
Mzee wa mitusi baada ya kuvimbiwa wali maharagwe ya Matombo [emoji16]
Time is just a an illusionMkuu,muda unakimbisa sana ukiulinganisha na nini? i mean speed ya muda umeicompare na nini mpaka ukatambua kua muda unakimbia sana?
Sex unajiua huku unajiona.
Labda sio huyu wa kwenye vitabu lakini kama ndio huyo nadhani ndio mwenye kasoro nyingi kulikoMwenyezi Mungu
Images can never be used for such analysis...it's just theoriesKwani wewe ulipo kuna chombo chochote umekituma hapa nilipo ili ujue nipo?
Au unanijibu kwa nadharia tu?
Ushawahi kusikia Hubbke Telescope, James Webb Telescope, Spitzer Telescope, SOHO, STEREO, SDO?
Au hayo majina ni "mashikolo mageni" ndiyo unayasikia leo?
![]()
Solar Space Telescopes | PBS LearningMedia
In this video from NOVA’s Sun Lab, explore how scientific understanding of the Sun and space weather has improved with data from three solar space telescopes: SOHO, STEREO, and SDO. Solar telescopes capture detailed images and information that scientists use to study both the interior and...www.pbslearningmedia.org
Sawa, hata haya maandishi hapa ni images tu, it's just theories, kwa hiyo acha kujibizana na mimi.Images can never be used for such analysis...it's just theories
Sijaua kama umenielewa, achana na hayo mambo ya sijui ya kufa sujui kuharibika hatuongelie viumbe hai. Mimi nadharia zangu zime base kwenye physics ambapo ukisema thermodynamic hapa tunaongelea uhusiano ulipo kati ya heat, energy na work. Ukija upande wa quantum systems hii ina inaelezea tabia za matter na energy kwenye viwango vya atom na subatomic level (behavior of matter and energy at the atomic and subatomic level) sio mambo ya kufa na kuharibikaHakuna kitu kinachokuwa subject ya time chenye 100% efficiency.
Kwa sababu, with time, everything breaks down.
100% efficiency maana yake kitu hakifi, hakiumwi, hakiharibiki.
Namba zako hapo juu.
1.Level ya juu sana kwenye ufanisi labda. 100% efficiency no. Tofautisha "most efficient" na 100% efficient.
skiza mkuu, labda tuseme kuna swich ya umeme inaweza kuwa OFF na ON, hii swich kwenye QS kwa wakati mmoja iyo swich inakua ipo ON na ipo OFF. Before the event ya ku predict. Ili kitu kiwe sanifu kwenye QS inabidi kiwe na hali zote mbili kwenye state kabla ya probability ya labda kipo ON ue OFF (Mambo ya Bayesian probability tutawapoteza watu)2. Quantum systems are intrinsic probabilistic, so they can't have 100% efficiency.
Mkuu bado tupo kwenye stage ya tafiti, quantum computer bado sana. Ndo tupo kwenye stage za mwanzo processor za quantum computer3.Ukiangalia Quantum computers sasa hivi wanapata tabu sana kutengeneza kwa sababu ki movement kidogo tu kinaharibu computer.So you can't have that as an efficient system. Lakini hata uki solve practical problems, Qquantum computers zinaweza kuongeza efficiency sana, lakini hiyo haimaanishi zitakuwa na 100% efficiency.
Zinawez akufanya kazi ya miaka milioni moja ifanyike ndani ya masaa 24, but that is not 100% efficiency, kuna energy itapotea kama joto, kutakuwa na seek time, kuna speed of light barrier etc
Sijajua mkuu labda hauna backgraound ya ya mambo ya pyhsics hasa advanceNothingness, kinadharia, inaweza kuwa na 100% efficiency.
Kwa sababu.
1. Haipo. Kwa kuwa haipo, haiwi subject kwa kitu chochote. Time, space, quantum fluctuations, the expansipn of the universe, energy fields etc. So, in theory, nothingness can have 100% efficiency at being nothingness.
2.The moment nothingness deviate from nothingness and no longer has 100% efficiency at being nothingness, it is no longer nothingness, that deviation disqualifies it from being nothingness.
3. Nothingness has the lowest possible entropy. The lower the entropy, the more order and perfection, so the lowest possible entropy = perfection, it can't get more perfect than that. You can't take anything from nothingness and make it less than nothingness.
* Vipi kama wewe mwenyewe ndiye Kiranga kupitia fake ID, tukuaminije?You are very wrong rafiki.
Kumuelewa Kiranga inabidi na wewe upstairs pawe vizuri kidogo ila ukiwa empty set kama mimi hutamuelewa.
Kiranga sio wa kawaida sema tu namna anavyoongelea Mungu imefanya baadhi ya watu wachukulie negative kwa kila anachochangia.
Pia kinachofanya aonekane mbishi ni kwa sababu ya uelewe wake mkubwa katika mambo mengi ambayo wengi wetu tunafikiri tunayajua ila hatuyajui.
Trust me hii JF nzima watu wanaoweza kum challenge Kiranga sidhani kama wanafika 10.
Najifunza mengi kupitia Kiranga
.Wewe utakua humjui vizuri huyo punguani,hua anajifanya much know sana,na hata akielekezwa jambo hua hakubali coz amejiaminisha kua yeye humu jf ndio genius au anajua kila kitu kuliko wengine,acha kumuabudu huyu mtu,ni wakawaida sana,ubishi wake wa kitoto ndio maana watu hua wanamuignore kisha yeye hua anatafsiri kua ameshinda,
Au unambabaikia kisa hua anachanganya na lugha ya mkoloni? maana kuna watu mmekariri kua mtu akiandika kingereza basi ndio ana akili,huyo jamaa yako ukimchallenge anaishia kukuweka kwenye ignore list tu,anapenda watu kama wewe wanaomuabudu tu.
Natafuta kitu ambacho hakina kasoro hapa duniani, kitu kikamilifu kwa 100% kitu ambacho huwezi kukuta mawaa ndani yake.
Nimeangalia kama dini, zote zinamapungufu ndani yake.
Kama ni elimu zote zina mapungufu ndani yake, zimekosa majibu mengi.
Kama ni sera za vyama, sera za vuama vyote vimejaa mapungufu
Kama ni kazi za sanaa, zote zina kasoro.
ardhi/udongo kwani unashida gani na mtu?