mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,465
Nacho kina kasoro , why kisiwe kanabisha hodiKifo/Death
Siku ikifika hua ni lazima ufe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nacho kina kasoro , why kisiwe kanabisha hodiKifo/Death
Siku ikifika hua ni lazima ufe.
Hebu fikiria mtu anaambiwa kua siku yake ya kufa ni lini,unafikiri maisha yangekuaje?Nacho kina kasoro , why kisiwe kanabisha hodi
Kifo kinakushindwaje wewe mavumbi tu?Ndiyo kimeshindwa kufanya kazi yake kwa 100% efficiency hivyo.
Mara mtu anaumwa anapona.
Mara anapata bonge la ajali anapona.
Kingekuwa hakina kasoro kungekuwa hakuna mtu, wote tungekuwa tushakufa.
Kwa vile tupo, kina mapungufu, kinangojea tuzeeke tudhoofike ndiyo kinatuchukua wengine.
Mara unasikia kibibi kima miaka karibu 120 ndiyo kinakufa.
Hapo kifo kimezembea saana tu.
Tukiwa vijana wengi kinatushindwa.
Hakika Mama LenieKuna watu wanafariki punde tu wakizaliwa
Wengine ghafla, usiku kalala mzima asubuhi amefariki bila kuumwa wala kuwa mzee.
Kifo ni fumbo
Mzee wa mitusi baada ya kuvimbiwa wali maharagwe ya Matombo [emoji16]Jamii Forum
Kweli, Mungu pekee ndiye hana kasoro hata kwa 0.0001% sababu yeye ni yule yule, jana, leo na hata milele zote, amina.Mada nzuri sana.
Kwa upande wangu, Dunia Ina Kila aina ya Mapungufu kwa sababu ya Anguko la Adam na Hawa.
Kabla ya Anguko Dunia haikuwa na Mapungufu.
Kikubwa ni kumkiri Yesu kama Bwana na Mokozi wa Ulimwengu.
We amini tu hujachelewa.
Hautopongukiwa na chochote.
Si muha huyu (kipaji cha ubishi)? Natania tu Waha msinipopoe tafadhali [emoji119][emoji56]Huyu mtu hua amejikoki kubishana tu,
ana fixed mind mentality ya kubishana tu.
Muda au time ndio chenye kasoro nyingi. Kwnn hakisimami, kwann hakirudishiki nyumaMuda/time
Nguvu zetu Binadamu hupungua na kuisha kadri ya muda au umri unavyosogea ukubwani na kutokuwa nayo kabisa sawa na watoto wadogo tukiwa wazee.Energy
Kimenishindwa sasa hivi ndiyo maana nakujibu, kingeniweza sasa hivi nisingekujibu.Kifo kinakushindwaje wewe mavumbi tu?
Ebu tema mate chini ukiomba rehema na neema za Mungu zikuepushe kwa kufuru zako wewe mpofu wa akili
Natafuta kitu ambacho hakina kasoro hapa duniani, kitu kikamilifu kwa 100% kitu ambacho huwezi kukuta mawaa ndani yake.
Nimeangalia kama dini, zote zinamapungufu ndani yake.
Kama ni elimu zote zina mapungufu ndani yake, zimekosa majibu mengi.
Kama ni sera za vyama, sera za vuama vyote vimejaa mapungufu
Kama ni kazi za sanaa, zote zina kasoro.
Mkubwa, mpaka sijaua njia ya ku-prove nothingness kama in exist, ladha tuseme hata mathematics na physics haviwezi ku prove exists ya iyo "nothingness" pia inaweza ikawa sio 100% efficiency, what if "Kama "Haipo" - "Ipo".Je, mapungufu yana upungufu katika upungufu wake? Kwa sababu mapungufu hayajakamilika?
Hivyo, je, kwa kuwa hayajakamilika katika kukamilika, yamekamilika katika upungufu wake?
Au, hayajakamilika hata kwenye upungufu, kwa kuwa yangekamilika kwenye upungufu yasingekuwapo na yasingejulikana kuwa ni mapungufu?
Ukifikiria sana utaona, kitu ambacho hakina mapungufu hakipo. Kipo, lakini, kuwapo kwake kuna maana hakipo.
Kitu hicho ni nothingness, nothingness ni kutokuwepo chochote, hata vacuum in space si nothingness, kwa sababu ina space. Nothingness yenyewe hata space haina. Haina space, haipo kwenye time. Haipo. Inafikirika tu.
Hiyo nothingness haipo. Kwa kuwa kuwapo kwake ni kutokuwapo.Ikiweza kuwapo nje ya hapo tu, inakuwa si nothingness tena.
Hiyo dhana ya nothingness, kinadharia, ndiyo haina makosa. Kwa sababu ina lowet entropy, hauwezi kupunguza entropy hapo. Huwezi kuharibu, ili uharibu, inabidi uitoe kwenye nothingness.
Hiyo nothingness ndiyo haina mapungufu.
Kitabu cha kusoma ni "Why Does The World Exist: An Existential Detective Story" cha Jim Holt.
Haijalishi unaenda wapi, point ni kwamba unamomonyoka.Unapomomonyoka unaenda wapi
Kwa hivyo tukifa wote tukakosa mtu wa kutushuhudia kuwa wote tumekufa maana yake ni nini sasa?Swali limekushika pabaya sana...[emoji1]
Sasa tukifa wote nani atashuhudia kuwa kifo kimeua wote ilihali sote tu Marehemu?
Uwe unakubali kushindwa wakati mwingine maana si lazima ujue kila kitu bali ujifunze kila kitu uwe na maarifa zaidi [emoji2]
The death is perfect per 100% because it is unpredictable due to our low thinking capacity to foresee it when it will happen (time), by which means and where?If death was constantly perfect 100%, there would be no life.
The existence of life proves death is not perfect 100%.
We die every second (our cells die), but we don't die 100% every second.
So death struggles to kill us, until the day we finally die 100%, then it wins.
Since it struggles to kill us, all these years, it is not perfect 100%
Utility notion in Accountancy says that " if anything is continuously used at everyday is the way it reduces its natural energy and totally different when it can be compared by its energy before it was not started to do its work"Energy is not perfect.
It is subject to entropy and the second law of thermodynamics.
It is subject to the expansion of the universe.
It is subject to quantum fluctuations.