Mjamaa1
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,596
- 6,023
TajaNatamani kutaja ila basi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TajaNatamani kutaja ila basi tu
[emoji3][emoji3][emoji3]Ndiyo kimeshindwa kufanya kazi yake kwa 100% efficiency hivyo.
Mara mtu anaumwa anapona.
Mara anapata bonge la ajali anapona.
Kingekuwa hakina kasoro kungekuwa hakuna mtu, wote tungekuwa tushakufa.
Kwa vile tupo, kina mapungufu, kinangojea tuzeeke tudhoofike ndiyo kinatuchukua wengine.
Mara unasikia kibibi kima miaka karibu 120 ndiyo kinakufa.
Hapo kifo kimezembea saana tu.
Tukiwa vijana wengi kinatushindwa.
Cc Kiranga umepewa za uso huku na Mr "The Icebreaker" na ujumbe ukufikie.Wewe ni mtu dhaifu sana,ndio maana mtu akikuchallenge unakimbilia kumuweka kwenye ignore list,hii ina maanisha kua hujiamini na huna self confidence,najua hii comment yangu hutaiona coz mimi ni mmoja wa uliowaweka kwenye igore list ila najua kua wale wote wanaokuabudu na wanaokubali kwa kila unalolisema watanisoma.
Kijana asikudanganye mtu hakuna watu wajinga hapa duniani kuwazidi wakana Mungu na Wanafalsafa. Kwanza kujenga hoja hawajui pili waoga na wanakimbia maswali, tatu hakuna wanachokijua nje ya akili Yao. Sasa ukiangalia tu akili yenyewe kwa dhati yake Ina ukomo na Ina mapungufu, sasa vipi mtu anayetegemea akili tu peke yake kama kipimo cha kuujua ukweli na akawa na akili ?You are very wrong rafiki.
Kumuelewa Kiranga inabidi na wewe upstairs pawe vizuri kidogo ila ukiwa empty set kama mimi hutamuelewa.
Kiranga sio wa kawaida sema tu namna anavyoongelea Mungu imefanya baadhi ya watu wachukulie negative kwa kila anachochangia.
Pia kinachofanya aonekane mbishi ni kwa sababu ya uelewe wake mkubwa katika mambo mengi ambayo wengi wetu tunafikiri tunayajua ila hatuyajui.
Trust me hii JF nzima watu wanaoweza kum challenge Kiranga sidhani kama wanafika 10.
Najifunza mengi kupitia Kiranga
Thibitisha uwepo wa upepo kimuonekano na kiumbo ili tuuone na kuushika, kama huwezi lakini unakubali upo basi tusipotezeane muda kukataa Mungu hayupo.Kuwepo kwa upepo kunahusiana vipi na Mwenyezi Mungu uliyemtaja kuwa hana kasoro?
[emoji38]Multiple ID's raha sana aisee,unajisifia kisha unajishukuru.
[emoji14] [emoji14] [emoji14] 😛
Uzi uishie hapa [emoji120]Tunza hii nukuu yangu... "Chochote usichokifahamu ukamilifu wake hakina kasoro" by Mwanga Mkali
Umeandika ya kweli kabisa, Mimi ni miongoni mwao ameniweka huko katika hiyo list.Wewe ni mtu dhaifu sana,ndio maana mtu akikuchallenge unakimbilia kumuweka kwenye ignore list,hii ina maanisha kua hujiamini na huna self confidence,najua hii comment yangu hutaiona coz mimi ni mmoja wa uliowaweka kwenye igore list ila najua kua wale wote wanaokuabudu na wanaokubali kwa kila unalolisema watanisoma.
1.Gari si kiumbe hai, lakini nalo linaharibika (linaumwa) na linakufa. Linakunyw amafuta, linatoa uchafu.Sijaua kama umenielewa, achana na hayo mambo ya sijui ya kufa sujui kuharibika hatuongelie viumbe hai. Mimi nadharia zangu zime base kwenye physics ambapo ukisema thermodynamic hapa tunaongelea uhusiano ulipo kati ya heat, energy na work. Ukija upande wa quantum systems hii ina inaelezea tabia za matter na energy kwenye viwango vya atom na subatomic level (behavior of matter and energy at the atomic and subatomic level) sio mambo ya kufa na kuharibika
quantum systems can be isolated from the environment in a way that no energy is exchanged with the environment and no dissipation occurs, it's known as closed quantum system and they are considered to be the only systems that could have 100% efficiency.
skiza mkuu, labda tuseme kuna swich ya umeme inaweza kuwa OFF na ON, hii swich kwenye QS kwa wakati mmoja iyo swich inakua ipo ON na ipo OFF. Before the event ya ku predict. Ili kitu kiwe sanifu kwenye QS inabidi kiwe na hali zote mbili kwenye state kabla ya probability ya labda kipo ON ue OFF (Mambo ya Bayesian probability tutawapoteza watu)
Mkuu bado tupo kwenye stage ya tafiti, quantum computer bado sana. Ndo tupo kwenye stage za mwanzo processor za quantum computer
Sijajua mkuu labda hauna backgraound ya ya mambo ya pyhsics hasa advance
Kaka una maswali mazito sana daaah, kongole kwako Kaka Chifu [emoji109]Kama kasoro ni nothingness maana yake kasoro imetungwa na kundi fulani? Kusema kuwa hakuna kitu ambacho hakina kasoro na huku unasema kuwa kasoro ni nothingness huoni kuwa unajichanganya?
Hakuna kasoro katika kuokoka, kuamin Yesu Kristo aliyemwokozi wako, kuliamin jina na damu take.
Ni kasoro sana kumwamin Kristo bila kuokaka.
Ni kasoro kumwamin Yesu Kristo bila kuliamin jina na damu yake.
Happy dominika kwa wote
Upungufu ni mtazamo wako ,wengine upungufu kwao ni neema na si mapungufu.
Kuna mdau amesema udongo/ardhi hauna mapungufu - Udongo upo wa aina nyingi kuna tifutifu ,mfinyazi ,kichanga etc kwa wengine waliopo kwenye udongo mfinyazi watakwambia una mapungufu kwasababu kipindi cha mvua ni majanga na pia hauwezi kupanda mihogo ila mtu wa sanaa za kutengeneza vyungu vya maua /majiko etc kwake si mapungufu bali ni neema , udongo wa kichanga kwa wenye sector ya ujenzi ni neema ila wachimba vyoo kwao ni mapungufu maana ukichimba vibaya unaweza kujizika mwenyewe.
Kifo kina kasoro ndiyo maana kimeshindwa kuua watu wote kwa pamoja.
Kinavizia mmoja mmoja.
Kimeshindwa kufanya kazi yake kinyambisi.
Kasoro ni hali ya kukosa ukamilifu juu ya mambo yahusuyo mtu/kituNIMEULIZA MUDA MREFU SANA. Kasoro ni nini?
Huyo ni troll anaugulia kuwa kwenye ignore list.Cc Kiranga umepewa za uso huku na Mr "The Icebreaker" na ujumbe ukufikie.
Alikuwa hajaelewa.Kaka una maswali mazito sana daaah, kongole kwako Kaka Chifu [emoji109]
UumbajiNatafuta kitu ambacho hakina kasoro hapa duniani, kitu kikamilifu kwa 100% kitu ambacho huwezi kukuta mawaa ndani yake.
Nimeangalia kama dini, zote zinamapungufu ndani yake.
Kama ni elimu zote zina mapungufu ndani yake, zimekosa majibu mengi.
Kama ni sera za vyama, sera za vuama vyote vimejaa mapungufu
Kama ni kazi za sanaa, zote zina kasoro.
Atakupinga hapa, na ndipo huwa Watu humwona Kiranga ni wa kawaida sana maana kuna muda anajichanganya mwenyewe lakini hakubali kushindwa na kukiri kuwa kazidiwa hoja.It is true, as you appose the Existence of God, that implies (in your imagination) God is a mere nothingness and so perfect.
Nothingness=perfection, God is perfect and can create every thing from the nothingness.
Uumbaji